Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

SMH!!!
Katika uzinduzi huo wa kihistoria viongozi mbalimbali wa serikali na wale wa chama cha walimu CWT walihudhuria na kuifanya siku hiyo kuwa ni ya kipekee na ya aina yake katika historia ya Mkoa wa Mbeya tangu dunia iumbwe.
''Huu ndio ukweli hakujwahi kuwa na jengo refu la aina hiyo tangu dunia iumbwe, hili ndilo jengo la kwanza refu na hii ndiyo Lifti ya kwanza kuwepo mkoani Mbeya tangu Mungu aumbe dunia,''alisema mkazi wa Jiji la Mbeya ambaye hujishughulisha na kazi za kupiga Brashi viatu.

JENGO REFU KULIKO YOTE NA LIFTI YA KWANZA MKOANI MBEYA YAZINDULIWA - HABARI ZA JAMII
 
sasa buliding ikiwa na lift ni breaking news...hapa vituko kibao
Screenshot_2018-07-31-14-57-49~2.jpg
 
Wakenya ni wajinga sana. So what if people gathered to see the opening of the first lift in their beloved city? Maana before hawakuwa na jengo lefu sana kiasi cha kuwekea lift. Wala siko embarrassed as a Tanzanian patriot
 
Povu
 
Punguza pressure buda..not need for insults..just pointing out how washamba you guys are...very hilarious
 
Wakenya ni wajinga sana. So what if people gathered to see the opening of the first lift in their beloved city? Maana before hawakuwa na jengo lefu sana kiasi cha kuwekea lift. Wala siko embarrassed as a Tanzanian patriot
ni ulimbukeni wa hali ya juu inayoshangaza ulimwengu mzima.
munasherehekea very petty things ambavyo hata mtu yeyote aliyeko kijijini Kenya alizaliwa akavikuta vipo na wala hashangazwi na jambo lolote wala kukenua kenua meno hadharani kama ngedere. mambo mengine munatia aibu na kusinya.
najuta kuwa kwenye continent moja na nchi ya majuha.
bado tunasubiri uzinduzi wa Ubongo Flyover.
 
Nyie wakenya mnanifurahisha sana. Yaani hata kama mnaweza kuwa stupid, immature lakinj bado naipenda sense of humor yenu. Hivi wabunge wenu kukosa toilet papers kwenye restroom zao bungeni mnadhani hatukuisikia?
 
Du! hii kali.
 
Watz hatuwaste time kuscrutinize nchi kama yenu. Tuna problems zetu na tunatumia time kusolve sio kuflap midomo yetu like our immature northern neighbours
 
Seriously chamoto hukuisikia hii habari? I swear nilikuwa instagram nikaona tu bbc swahili wameipost
 
Back
Top Bottom