Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

you two could be jobless right now and you are busy flapping your big mouths like gays. You may be right that kenyans don't follow tanzanian news but it clearly shows your stupidity. What human being in this world despises a country so much that they wouldn't want to read about its news? - kenyans. You guys are lame
Lame ni wewe. Kuna lift inafunguliwa Tanga. Hudhuria, piga picha uje uanike ushamba wako humu
 
Lame ni wewe. Kuna lift inafunguliwa Tanga. Hudhuria, piga picha uje uanike ushamba wako humu
Hahahaha karibu sana Tanzania yaani seriously being kenyan sucks!! Ushamba sina man fortunately sikuzaliwa kenya. I will always be grateful beng Tanzanian. Hata kama mtakuja na hizo ludicrous insults lakini hazifikii zenu za wabunge kukosa toilet papers
 
ni ulimbukeni wa hali ya juu inayoshangaza ulimwengu mzima.
munasherehekea very petty things ambavyo hata mtu yeyote aliyeko kijijini Kenya alizaliwa akavikuta vipo na wala hashangazwi na jambo lolote wala kukenua kenua meno hadharani kama ngedere. mambo mengine munatia aibu na kusinya.
najuta kuwa kwenye continent moja na nchi ya majuha.
bado tunasubiri uzinduzi wa Ubongo Flyover.
unaumizwa na sherehe za watu!!!!,stress zako za maisha magumu hazituhusu.

kwani hamkwenda kukata utepe kuzindua garimoshi la karne ya kwanza???mnadhani tuliwaonaje???tuliwachukulia hivyo kwamba ndio mmeweza kupata.na haikuwa habari.
 
Si mlituletea hapa habari na pia kule Kenya.talk kwa pupa.
hii inaonyesha ni jinsi gani mmeguswa na hizo habari,kama utakutana na habari ikawa ya kipuuzi simplly utaipuuza uisahau within a second.
 
unaumizwa na sherehe za watu!!!!,stress zako za maisha magumu hazituhusu.

kwani hamkwenda kukata utepe kuzindua garimoshi la karne ya kwanza???mnadhani tuliwaonaje???tuliwachukulia hivyo kwamba ndio mmeweza kupata.na haikuwa habari.
yaani hawana aibu hata kidogo. Antique trains wanazindua kwa furaha kabisa wakati tz hizo tulizipata in the 70s
 
Nairobi boys and girls
tapatalk_1533042381736.jpeg
 
Baba angu Magu endelea kugongelea misumari maana hawa watu walidhani sisi tulisafiri na hatutarudi tena
 
eti kuna mkenya anaicompare mombasa kwa Dubai hahahahahaha yaani burj al arab bila hata burj khalifa inafunika total floors zao tall buildings in mombasa's CBD
hawa tulishawachukulia ni pet monkeys,ataiba nyanya afiche jikoni😀😀
 
Back
Top Bottom