Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyinyi mko na Sport gany mnajua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nigeria ni Mpira,South Africa ni Sweeming,Kenya ni Athletics ,Uganda ni Basketball,Ethiopia Athletics, Egypt valleyball....etc lakini Tanzania ndio.... yani hakuna kitu mnajulikana nayo isipokuwa Udaku[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
IMG_20180728_000937.jpg
 
Tff twahitaji userious kwa hili talent zipo za kutosha kwa upande wa soccer ila hamuvitengenezi....tunachukua sana vikombe vya dunia kwa upande wa wanaume under 18,20,17 kwanini tunalegeza kwa upande wa team kubwa ya taifa...

All of congraturatipn Tz my country naipenda sana

CHAMP 2018 AGAIN
IMG_20180728_000937.jpg
 
Licha ya kina Ichoboy, Geza Ulole, Annael na wenzao I hope Tanzania hamtuchukii waKenya na nchi yetu jinsi inavyojitokeza hapa JF.

I hope tutadumisha amani, upendo na urafiki. Competition is healthy, lakini wivu ni mbaya. Kila mtu na mwendo wake.

Acha niende niwake. Naskia kwenu mnaiita kula bata [emoji23]. Sisi kula bata inamaana nyingine tofauti kabisa [emoji23][emoji1479]
Kabisa leo umenifurahisha.......

Kuwaka,kumoka,kubwax ama kuwa bwax,kula tungi,kuvimba,kutinga,kula bata yote ni same table.....

Hapa twazichallange government zetu tu zichangamke east africa iweze songa kwani hapa kuna leaders wakubwa kabisa ambao hutembelea huu uzi na nyuzi mbali mbali zenye kujenga hivyp hupitia japo hatuwezi kuwajua kirahisi..

#PIGA MONDE MTU WANGU
 
Did you Know....
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Screenshot_20180728-011932.jpg
Screenshot_20180728-012026.jpg
Screenshot_20180728-012016.jpg
Screenshot_20180728-012012.jpg
 
masikini wakenya[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
madeni mpaka matakoni

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kama kuna Government ya Wakora na wajanja East Africa ni kenya &then you expect it to pay you[emoji12][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] labda yesu akirudi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Wataambiwa vile Kibaki alawaambia "KUMBAFF REGAREGA MAFI YA KUKU"
 
Nyinyi mko na Sport gany mnajua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nigeria ni Mpira,South Africa ni Sweeming,Kenya ni Athletics ,Uganda ni Basketball,Ethiopia Athletics, Egypt valleyball....etc lakini Tanzania ndio.... yani hakuna kitu mnajulikana nayo isipokuwa Udaku[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
😁😁😁😁 of course Tanzania 🇹🇿 tuna football ⚽ drama 🎭 🎥 and music 🎶

Ila kwenye udaku haujakosea kabisa 🏃🏃🏃🏃
 
Licha ya kina Ichoboy, Geza Ulole, Annael na wenzao I hope Tanzania hamtuchukii waKenya na nchi yetu jinsi inavyojitokeza hapa JF.

I hope tutadumisha amani, upendo na urafiki. Competition is healthy, lakini wivu ni mbaya. Kila mtu na mwendo wake.

Acha niende niwake. Naskia kwenu mnaiita kula bata [emoji23]. Sisi kula bata inamaana nyingine tofauti kabisa [emoji23][emoji1479]
tuwachukue nyie wakati hatuna tunachotegemea kutoka kwenu 😂😂

nyie ndio muna wivu na tanzania na hii haikuanza leo wala jana na nakukubuka 10 yrs ago mulikua munawadharau na kuwatukana watanzani mbona hayo matusi hayapo tena hahahha mumekua wapole sasa na huu ni mwanzo tutakula sahani moja safari hii👍👍👍
 
tuwachukue nyie wakati hatuna tunachotegemea kutoka kwenu [emoji23][emoji23]

nyie ndio muna wivu na tanzania na hii haikuanza leo wala jana na nakukubuka 10 yrs ago mulikua munawadharau na kuwatukana watanzani mbona hayo matusi hayapo tena hahahha mumekua wapole sasa na huu ni mwanzo tutakula sahani moja safari hii[emoji106][emoji106][emoji106]
POROJO

Hakuna siku tumewachukia.. Labda kuwa dharau kiutani tu. What's there to hate about you guys anyway? Lakini, we decided to be the bigger person, tujizingatie na kujiboresha badala ya sideshows na watu wengine .

Wewe na wenzako hii yenu hata si dharau ya kiutani. Yenu ni CHUKI, WIVU na UTOTO. Yaani huku ni free comedy tuu. Mnavyofikiria inatusikitisha, inawaacha waKenya bila budi. Mnajiona mmefika. Mbona Uganda pia wanaendelea lakini wametulia?
 
Reddish Track My foot...I need an Aquatic Arena And an Indoor Arena
Aqautic and indoor arenas hamna hata moja Tanzagiza...umeme ni shida na anything indoor requires electricity to function unless Tanzanians are nocturnal creatures.
 
Aqautic and indoor arenas hamna hata moja Tanzagiza...umeme ni shida na anything indoor requires electricity to function unless Tanzanians are nocturnal creatures.
Acha mawenge umeme upo hadi unamwagika...
 
POROJO

Hakuna siku tumewachukia.. Labda kuwa dharau kiutani tu. What's there to hate about you guys anyway? Lakini, we decided to be the bigger person, tujizingatie na kujiboresha badala ya sideshows na watu wengine .

Wewe na wenzako hii yenu hata si dharau ya kiutani. Yenu ni CHUKI, WIVU na UTOTO. Yaani huku ni free comedy tuu. Mnavyofikiria inatusikitisha, inawaacha waKenya bila budi. Mnajiona mmefika. Mbona Uganda pia wanaendelea lakini wametulia?
hehehe nakumbuka 10 yrs ago mlikua munatutukana sana lakin safari hii naewona kimya hehehhe kweli dunia inazunguka😂😂
 
Back
Top Bottom