Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
Huna point..Dr. Magu alikuwa UDSM na hawezi zungumza kiingereza? Hii inafaa ichunguzwe hapa kuna fake degrees na Doctorate ama pia vyuo vyenu vikuu vinawafunza na Kiswahili?
.
.......kaa kimya.......
Kiswahili ni chetu na tunakizungumza popote pale tunapopenda....