watanzania pliz don't post hizo uchafu za darislum na tanganyika.
.
Nairobi street view
View attachment 814948
Kama ilivo sekta nyingine hapa kwenye sekta ya viwanja vya mpira Kenya imepigwa K.O na TanzaniaKuna nchi moja siitaji haina uwanja wa michezo mzuri nje ya Nairobi.View attachment 814960View attachment 814961View attachment 814965View attachment 814963View attachment 814966View attachment 814964View attachment 814967View attachment 814968View attachment 814969View attachment 814973View attachment 814974View attachment 814975
Sio mbaya kumbe mikocheni nikubwa kuliko
What if Kenya exchange Country with Malaysia,Singapore, or even Japan.Acha siasa,,kuna viinchi vidogo havina hata ardhi ya kuzika na hazina resources kama mlizonazo Kenya lakini wana uchumi mzuri kuliko huo uchumi wenu wa makaratasi.If kenyans could exchange countries with with tz..we could be the most richest and developed nation...with all that gas and minerals and arable farm...tungekuwa mbali..but if tz was in kenya..wangekuwa maskini kama somalia...but still we outdo them in almost every sector..endeleeni kulalia maskio.....
Bado mnatumia izo landrover mandolin

daah izo gari Noma sanaMurua sana
Yani ni kutu mwanzo mwisho haha
1.Airtel 2GB for one week is 250/=Wakenya 1gb bubdle ya wiki mbanunua bei gani kwa dola
Iyo nayo ni ukweli, kwa football pitches mko juuKama ilivo sekta nyingine hapa kwenye sekta ya viwanja vya mpira Kenya imepigwa K.O na Tanzania
na cha kushangaza hizo viwanja haijawasaidia kimcgezo...juzi tu ile team yao ya yanga walipewa kichapo cha mbwa na Gor. Tanzania inajulikana kwa mchezo gani duniani? Kenya inajulikana kwa riadha, volleyball, rugby, cricket, the list is endlessIyo nayo ni ukweli, kwa football pitches mko juu
That's Galleria for you...almost every estate in Nairobi now has a mall
What if Kenya exchange Country with Malaysia,Singapore, or even Japan.Acha siasa,,kuna viinchi vidogo havina hata ardhi ya kuzika na hazina resources kama mlizonazo Kenya lakini wana uchumi mzuri kuliko huo uchumi wenu wa makaratasi.
Inawezekana Tz tumechelewa kutokana na mfumo tuliokuwa nao wa ujamaa,,hata hivyo kaa ukijua within ten yrs kuna mambo mengi na makubwa sana yamefanyika.Mfano mdogo tu ni suala la utalii ambako tumeshawamaliza..!