a single house cannot make inference about the whole region....
a single house cannot make inference about the whole region....
In Dar slumish area is 70% of the city; unemployment rate in comparison na extreme poverty ni paradox!, mabingwa wa umaskini wa kutupwa EAC na SADC!! aibu kwa serikali ya propaganda na porojo! Walala hoi kibao, yani mnapelelana na Ethiopia sako kwa bako!, Uganda na Kenya tukiwafuata hapo nyuma, despite us nchi kubwa yenye rotuba, gesi na madini tofauti!! shame on Tanzania!kwenye slums na unemployment bila kusahau below poverty line hehheheh😀😀😀😀😀
Akina Samatta wamepatikana kupitia hizo viwanja hata akina Diamond na Vanessa huperform using the same viwanja zilizo nchi nzima. Hata ndugu yenu Kagere tunamlipa mshara mkubwa kutokana na mapato toka hizo viwanja. Tunaenjoy ligi yetu live azam tv kupitia hivo viwanja.na cha kushangaza hizo viwanja haijawasaidia kimcgezo...juzi tu ile team yao ya yanga walipewa kichapo cha mbwa na Gor. Tanzania inajulikana kwa mchezo gani duniani? Kenya inajulikana kwa riadha, volleyball, rugby, cricket, the list is endless
Okay,seriously i'm new here and this discussion about Dar vs Nairobi is just ridiculous coz both cities are in poor countries yan hata mtu wa developed country akisoma hizi thread atakuwa anacheka tu. Some are flaunting about flyovers, some about how rich their economy is, guys this all doesn't matter unless tuwork together kuifanya East Africa better zaid then baada ya hapo tucompete vizuri