Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Endeleeni kucopy wadau [emoji23] [emoji23]
 
Hivi hawa wanaosema sijui Mbeya, Tanga, dodoma na mikoa mingi tu utasema wao wanakaa wapi hapo Dar. kuna mitaa ukipita kama Tandale sijui ni mpaka aibu kusema uko Dar na hapo almost centre sasa nenda barabara za mijini ni mashimo tu na ziko kata almost 95% za Dar ni umaskini wa kutupwa sio watu tu hata miundo mbinu. Sehemu nzuri ni chache sana na uhai wa Dar ni bandari tu. Kwa Tz Dar mji mkubwa sana na hilo halina shaka mpaka kiuchumi ila miundombinu ni mibovu sana ziko sehemu nyingi Dar ni kama uko kijijini tu. - Heijah , mkaazi Tandale, Darislum
 
Tandale kwel hali ni mbaya sio siri
 
hehehe asante kwa renders bro
 
umeanza kuchanganyikiwa sasaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
hakuna joke hapo sema umekalia kuti kavu heheh endeleeni kuokota picha za google na kusema. darπŸ˜€
dah mkuu umenifundisha kitu... kumbe hata google inaweza ika guess picha unaiweka... safi sana...umemkamata vizur huyo jamaa
If you don't have facts about Tanzania you better keep your stupid mouth shut.
Those are Naigeria Slums not Tanzania. Stupid Kenyan
Slums City Urban Cityscape Stock Photos & Slums City Urban Cityscape Stock Images - Alamy
picha hii hapa>>>
Urban Slums Of Dar Es Salaam In Tanzania Stock Photo & More Pictures of Aerial View | iStock
 
Hao ni wanachama wa vyama vya upinzani Tanzania. Wanapingaga kila kitu.
 
Blaza unaijua Addis kweli??? Yaani Kampala iipiku Addis??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…