Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bongo
FB_IMG_1489001424814.jpg
 
Twende ilikua hotel za mombasani nazipost sai ....sai nko Mombasa btw acha ni post maphoto alafu facts zinaonyesha Mombasa iko juu kitali kushinda dar is slum
Na usiibe picha ya nchi nyingine tukikamata ujue umeshindwa kabisa nakupa fact maana usije toka povuuuu mapema😀😀😀
 
Nairobi iko league yake kivyake. na ni mainland. hakuna maBeach boy kama Dar.
Sasa nimewaruhusu ingizeni Mombasa na kisumu mbona munakua waoga mm ndio nimewaruhusu ingizeni humu alaf twendeni kazi hahhha
 
Sasa nimewaruhusu ingizeni Mombasa na kisumu mbona munakua waoga mm ndio nimewaruhusu ingizeni humu alaf twendeni kazi hahhha
naam! sasa naona umekubali mwenyewe kwamba Nairobi hauiwezi. kisha mwishowe utasema tukupe mji wa Nakuru.
so in this case, Nairobi Wins! case closed. Fungua thread ya Dar vs Mombasa sasa.
 
its an insult to compare Nairobi to Dar is slum.
bring on Jo'burg or Cairo. Lagos iko disorganised
 
naam! sasa naona umekubali mwenyewe kwamba Nairobi hauiwezi. kisha mwishowe utasema tukupe mji wa Nakuru.
so in this case, Nairobi Wins! case closed. Fungua thread ya Dar vs Mombasa sasa.
Hahhahhahaha naona unajichanganya enhhhh unajifanya huelew eti enhhhh hahhahahha hapa utaelewa tu mwaka wa unbelievable hhehhehehehheh
 
Hahhahhahaha naona unajichanganya enhhhh unajifanya huelew eti enhhhh hahhahahha hapa utaelewa tu mwaka wa unbelievable hhehhehehehh
eh

nakupata vizuri sana. ata hapa pia unakubali na kinyongo. yenu ni "tuta" "tuna" na "mwaka huu"
Ushaelewa?
 
nakupata vizuri sana. ata hapa pia unakubali na kinyongo. yenu ni "tuta" "tuna" na "mwaka huu"
Ushaelewa?
Hhahhahaha mwaka mbaya huuu 2017 twende kazi hhahahahahah tusikimbiane tu humu sasa mombasa imekuja kusaidia nairobi bado kisum nayenyewe sijui kisumu mutaleta nn baiskeli au hhahhahahahahahhahaha
 
eebd3d618748483bc39117af1ef32d67.jpg
de2d6f2ae3a40b42eba2caa16cac65ff.jpg
657fd75fa2f5f44f90ffa94a1a23baf9.jpg
450c719630fd5dc28dd36638b3502a30.jpg
067d9ae2b89e4601c17f8aa9f6b87862.jpg

9182a160d0cba95e5ccce272212e1db5.jpg
243255356865f4765eb6a7eded566452.jpg

Mombasa maze ni konoma kumbe devolution husaidia...big up Governor Hassan Joho

mwache afungue thread ingine ya Dar is slum vs Mombasa. By the way io ni Shehena Marina Apartments inafanyiwa finishing. ni building ya Abu Joho. ndugu ya Governor Joho
 
mwache afungue thread ingine ya Dar is slum vs Mombasa. By the way io ni Shehena Marina Apartments inafanyiwa finishing. ni building ya Abu Joho. ndugu ya Governor Joho
Fungua mwenyewe. Na nadhani itadoda.
 
Back
Top Bottom