Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mji wenye ghorofa 15,ndo ufananishe na dar...hahaaa mnachekesha sana!

Tihahahhaaaaa... Eeeh ghorofa tatu hii yenu
downloadfile-6.jpeg
 
Your thinking and argument is the reason, mtanzania ni Tomaso(doubting Thomas), lazima ajionee ndiyo aamini, la sivyo mtapingana hadi..., nimewaelewa sana. I rest my case.
Nimeshakuondoa kwenye watu wenye akili. Wewe ni debe tupu. Hapa ni GT kijana nenda JamiiForums.com huko wanaongea ukabila tu na kuaibishana. Hii media ni ya Critical Thinkers. Huiwezi wewe kijana.
 
Kila siku huwa nawaandikia hapa, ukiwasoma hawa wakenya humu unaweza kufikiri nairobi ni kama new york,tokyo fulani hivi na wakenya kama watu fulani wa juu sana. Wanafikri hatujaishi nao na hatujui mambwira kibao ya kikenya!
Who said? Kenya ni Africa, what we do ni kuchallenge your citizens' thinking about Kenya. No one denies our shortcomings, lakini haziko the way they are exaggerated in several writings., ndio maana wale watz wenye uwezo wa kutembea mahali pote Nairobi wanakubali Nairobi bila ubishi si wale wanafika river road, mahali mabasi ya kutoka Dar hupakia, na wanaishi sehemu kulingana na mfuko yake., the rich Tanzanians, nawapenda sana, wanafika na V8 ama Range, very reasonable. Wanasema maoni yao open and clear, wako na uwezo wa kuzunguka, hawategemei mtandao.
 
Nimeshakuondoa kwenye watu wenye akili. Wewe ni debe tupu. Hapa ni GT kijana nenda ********* huko wanaongea ukabila tu na kuaibishana. Hii media ni ya Critical Thinkers. Huiwezi wewe kijana.
Kama wewe ni critical thinker, then am in a wrong forum!!!!,
The way you argue???,
hii ni forum ya vioja., hakuna critical thinking, it's just a contest, nothing here.
 
Truth be told, Dar has a unique look(Arabic, Swahili design), na location(coastal)., you can't compare to Nairobi(western look). Maybe you develop design ya Doha, Qatar., as at now, good but bado!
hii ndio western look hahah enhh Mungu nipe umri niyaone mengi😀😀😀😀
14D9B728-A926-415A-B9D5-487ADF2435CB.jpeg
590FB2C7-15EC-414E-BD6B-663A3D9C7629.jpeg
 
dar imeichapa viboko vingi sana nairobi na jana kisumu imepokea kibano kitakatifu kutoka kwa arusha so kinafata nini tena😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom