ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
shaurimoyo ilala bro ndio zakwetu zina beam 4 wakat za kenya ni mbili tuHii ni wap mkuu...naona ziko tofaut kabisa na Za Kenya Yaani kenya walipuaji sana
shaurimoyo ilala bro ndio zakwetu zina beam 4 wakat za kenya ni mbili tuHii ni wap mkuu...naona ziko tofaut kabisa na Za Kenya Yaani kenya walipuaji sana
umeanza kutafuta sababu za kufutia machozi😀😀Arusha is not well planned, huyo jamaa alizidiwa akaanza kunionyesha mashamba😀😀😀...Hakuna picha yoyote imeniconvince hapo. Ndo maana nilisema Arusha hata Eldoret inachapa the kenyan 5th
lakin taxi baiskeli zipo kisumu sawa nijibu tuendelee plz😀😀😀😀😀I like your honesty. You are the most honest Tanzanian in here, wewe na Mkorinto😀😀😀
Matador bana Yaani unatoka povu na kisumu lol![]()
![]()
Nbo imeshinda imehenyeshwa na Dar sana sasa kisumu which is just a ward tu mnaita city lol kisumu si sawa tu na ward moja ya Dar. ..estates gani ipo kisumu ya kulinganisha na Arusha yenye njiro,uzunguni, sanawari...Arusha is a way better than kisumu tena Dar moja tu naweza sema mbezi beach pekee inamaliza the whole kisumu au ward ya kawe

Arusha iko poa unaweza usikubal ili tuendeleze mjadala wa bure hapa...
Sasa eldoret
Iko na hotels za adabu ngap?viwanda itagusa Arusha? Vyuo vikuu? International schools,clubs ,Malls, eldoret ni nzur lakin haijazidi Arusha kubali yaishe
Weka mall moja kubwa ya kisumulol ok.....let's start with malls in kisumu and Arusha then tuingilie estates
lakin taxi baiskeli zipo kisumu sawa nijibu tuendelee plz
Chumishwa mboga shot ya Alasiri alafu unitag ama uniquote ukimaliziwaplz usiwe na hasira kias hicho investor anatoka na oil na oil knapanda bei zaidi😀😀😀😀
hawking gani hii?blind patriotism.....tembea kisumu babaa....wachagga wamejaa pale lwangi beach wanafanya hawking ya ajabu...lol.Arusha size yake ni kericho
Hizi ni malls😀😀😀
Umeacha mini mall😀😀MEGA CITY MALL
LAKE BASIN MALL
UNITED MALL
MEGA PLAZA MALL
TUFFOAM MALL....
LOL....hiyo hata arusha ifanye collabo na mwanza haiwezani na kisumu......