Wacha uongo buda ww ni beta kuliko uongoTanzanian towns are so stagnant in growth....apart from maybe a govt project in the heart of the town's....the residents themselves are incapable of growing their towns unlike in Kenya where individuals jostle for space to set up residential apartments and other businesses.I have been to mwanza na kitu imeshindia kisumu hakuna......in fact by Kenyan standards it can rank 6 th
Brother hio ni industrial area ama ni kiwanda kimoja unaonyesha? Sasa industrial area gani iko na kiwanda kimojaKisumu industrial area, show me ya ArushaView attachment 809365
hahahaha.... hawajui kwamba katika kila county tumeweka watu wetu wa kutupatia information.
hahahhaha yani analazmisha taxi baiskeli zisiwepo wakat zimejaa kama njugu😀😀😀😛hahahaha.... hawajui kwamba katika kila county tumeweka watu wetu wa kutupatia information.
hatari sana.asanteni yapi markezi😀😀😀😀
magu hatanii yukwapi mwaswast
View attachment 809677 View attachment 809678
League yake ingefaa tu Moshi Arusha imezidi kisumu buda we wenyewe umeonaIchoboy and Tuusan next time never underestimate Kisumu.
Mazee hii ni substandard kabisa nikisema hua mnamind
Picha ya dar ikirudiwa hua mnakua wakali sana lakini hii mmeshapost ×5000 na tunavumilia

The wrong thing with you is that you are looking at what is close to you...The whole that picture is undustries, look at it once again.Brother hio ni industrial area ama ni kiwanda kimoja unaonyesha? Sasa industrial area gani iko na kiwanda kimoja
Ameacha hela nzuri sana pia anatutangazia Serengeti. ..tunataka upande wa utalii mje mjifunze kwetu! !hatuwez kaa nanyi meza mojaMnaringa na product ya Kenya![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kuuliza si mbaya, umekuwa Kisumu? When were you there last?Awesome
Hakuna kitu hapo😀😀😀😀League yake ingefaa tu Moshi Arusha imezidi kisumu buda we wenyewe umeona
Miji yenu ilionivutia ni NBO na eldoret iyo kisumu bakini nayoKuuliza si mbaya, umekuwa Kisumu? When were you there last?
Kumaanisha hata kukanyaga hujaikanyaga huko😀😀😀Miji yenu ilionivutia ni NBO na eldoret iyo kisumu bakini nayo
Kisumu ni nzur lakin haijaweza Arusha Kwani wewe siumeona mwenyewe! !Hakuna kitu hapo😀😀😀😀