tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Sijafika Kenya badoKumaanisha hata kukanyaga hujaikanyaga huko😀😀😀
Sijafika Kenya badoKumaanisha hata kukanyaga hujaikanyaga huko😀😀😀
wait .............mambo yapo mbioni..........kumalizia ujenzi hilo jengo ni lakitambo sanaEbu leta updated ones😀😀😱...Both of Arusha na Mwanza😀😀
Arusha is not well planned, huyo jamaa alizidiwa akaanza kunionyesha mashamba😀😀😀...Hakuna picha yoyote imeniconvince hapo. Ndo maana nilisema Arusha hata Eldoret inachapa the kenyan 5thKisumu ni nzur lakin haijaweza Arusha Kwani wewe siumeona mwenyewe! !
Tena ungeingia kwenye league ya starehe na sehemu za kupoa kuponda pesa kama hotels lodge na clubs ungelia wewe
wachana nao wanaxingua hawa wakenya wanataka kupindisha uhalisiaLeta the new one basi😀😀😀😀...Sitaki excuses hapa😀wait .............mambo yapo mbioni..........kumalizia ujenzi hilo jengo ni lakitambo sana
hatariasanteni yapi markezi😀😀😀😀
magu hatanii yukwapi mwaswast
View attachment 809677 View attachment 809678
Arusha iko poa unaweza usikubal ili tuendeleze mjadala wa bure hapa...Arusha is not well planned, huyo jamaa alizidiwa akaanza kunionyesha mashamba😀😀😀...Hakuna picha yoyote imeniconvince hapo. Ndo maana nilisema Arusha hata Eldoret inachapa the kenyan 5th
Ndo maana unaongea ivo...Unaona tu kwa picha alaf unajudge😀😀😀Sijafika Kenya bado
Hii ni wap mkuu...naona ziko tofaut kabisa na Za Kenya Yaani kenya walipuaji sanaasanteni yapi markezi😀😀😀😀
magu hatanii yukwapi mwaswast
View attachment 809677 View attachment 809678
watakuambia wanawasomi wengi5000 chinnese wamepewa ajira na security 24hrs heheh wakat unemployment rate in kenya is 40%
dah inaskitisha sana 😱😱😱😱
View attachment 809681
The things mmeeka hapa ndo nilikuwa nataka tudiscuss na ichoboy akahepa.Arusha iko poa unaweza usikubal ili tuendeleze mjadala wa bure hapa...
Sasa eldoret
Iko na hotels za adabu ngap?viwanda itagusa Arusha? Vyuo vikuu? International schools,clubs ,Malls, eldoret ni nzur lakin haijazidi Arusha kubali yaishe
hii style yakupanga matofali halafu juu wanachapa rami sijui nani aliwaingiza mkenge hawa wakenya ikianguka hiyo sijui lawama ziende kwa naniMazee hii ni substandard kabisa nikisema hua mnamind
Ulitaka nikudanganye nimefika?nikifika ntakuambia usijali...wacha nijichange kwanzaNdo maana unaongea ivo...Unaona tu kwa picha alaf unajudge😀😀😀
I like your honesty. You are the most honest Tanzanian in here, wewe na Mkorinto😀😀😀Ulitaka nikudanganye nimefika?nikifika ntakuambia usijali...wacha nijichange kwanza
nitakuletea next time nikipata pichaLeta the new one basi😀😀😀😀...Sitaki excuses hapa😀
Hahaha there are a lot of pictures of Arusha airstrip acha kudanganya wasee hapa😀😀😀nitakuletea next time nikipata picha
tanzania allmost airport tunaziupgrade kwa kuziexpand na tumeanza huo mchakato tiyari sikudanganyiHahaha there are a lot of pictures of Arusha airstrip acha kudanganya wasee hapa😀😀😀
MWANZA international airportHahaha there are a lot of pictures of Arusha airstrip acha kudanganya wasee hapa😀😀😀
We wacha kutupima akili..picha za ireland airport ndo unapost hapa ..unaona si ni vipofu nini