Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ii ni Kisumu kijana😀😀😀View attachment 809394
😀😀😀😀😀 pole sana
D9E644DF-F356-4F4D-A4BB-DDA48AC140F2.jpeg
 
Unataka uambiwe hadi lini baiskeli siku hizi haziko Kisumu😱😱😱. Nafasi za bike zimechukuliwa na pikipiki
ww usinifanye mm mpumbavu sana mm nina ndugu huko usifkiri unaeza nidanganya kirahisi tu😀😀
sasa subiri kesho nichat nae alaf nitakuonesha majibu yake
 
ww usinifanye mm mpumbavu sana mm nina ndugu huko usifkiri unaeza nidanganya kirahisi tu😀😀
sasa subiri kesho nichat nae alaf nitakuonesha majibu yake
Kumbe ulikuwa unaongea na hata hujafika huko😀😀😀...Nangoja jibu.
 
Back
Top Bottom