but unemployment rate is 2.7% while kenya 40%Ichoboy what can you say about your decreasing currency value. Ati tutapita Kenya, mnapita Kenya na hamna currency?View attachment 809036
Climate change inavyozidi kumea pembe. Miaka hamsini ijayo Dar yote itakuwa chini ya maji. Indian ocean itaifunika yoteblessed cityView attachment 808946
dua la kuku halimfikii mwewe😀😀😀😀Climate change inavyozidi kumea pembe. Miaka hamsini ijayo Dar yote itakuwa chini ya maji. Indian ocean itaifunika yote
Ichoboy what can you say about your decreasing currency value. Ati tutapita Kenya, mnapita Kenya na hamna currency?View attachment 809036




Kumbe ni almst valuelessWanajenga vitu vya bei rahisihakuna kupanga matofali kama fly over za jirani zetu😀😀😀😀
wow nakuru iko dope......our four main cities now have got world class roads for real............kisii pia kuna bonge la barabara inapikwa kupikwa........it will rub shoulders with the big boys.......Eldoret our fifth city is also upgrading its roads.Haiwezi bana...let alone Outering
acha hasira hakuja masai mara heheh😀😀😀 huku alikuja kuacha mamilioni ya pesa wiki nzima na familia yake akizunguka serengeti na ngorongoroMkenya (Obama) akienda tz wanatutangazia kila wakati. Huku Kenya amekuja mara nyingi...na hatuongei
Umechumishwa mboga na muindi Leo sasa hatutopumua juu ya utamu 😀😀....hah hah hah bibiboy.heheheh ugua pole😀😀😀😀
wacha hasira tanzania inakukondesha hvo plz😀😀Umechumishwa mboga na muindi Leo sasa hatutopumua juu ya utamu 😀😀....hah hah hah bibiboy.
Obama sio mkenya!Mkenya (Obama) akienda tz wanatutangazia kila wakati. Huku Kenya amekuja mara nyingi...na hatuongei