Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

siku hzii korea imehamia westland😀😀😀
nimecheka sana
F6E4E1D5-DEC8-4B0A-90C4-19D3EFC0AD67.jpeg
 
Geita gold producing region...cheki barabara za wanaoDanganyika 🙁🙁🙁
road.jpg
 
wajanja washakula pesa alaf wengine wanafunga barabara😀😀😀😀😀😀

 
Udsm ilikua kubwa sana imezaa Ardhi university and Muhimbili university
Sasa Nyie kelele tu ndio kitu mnaweza
Pale muhimbili ni university of health and allied science Na apo Ardhi inajieleza mambo ya land survey nk, pia hivi majuzi udsm imeongeza school of agricultural Japo ilikua Maalumu kule Sokoine Morogoro...
Jifunze
Udsm ilitawala sana rankings, ili anguka baada ya kuondoa kitengo cha medicine. Kama Muhimbili ingekua bado ni part ya Udsm sizani kama ingekua inakosa kwenye top 5 Africa. Kuna jitihada zili anza kufanywa kurudisha hiyo idara ila changamoto zikawa nyingi

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom