Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

makalio yenu tushayadunga sindano
wivu haufai
mnadunga Miba kina nani Na tutaishi Kuwa Mbele yenyu in Every factor... Hata wewe Nikikupa ksh 10M uanzishe biashara serious niko 90% sure utapewa advice Ukuje Kenya more so Nairobi ku invest ju Tanzania hakuna Value tutapata huko ni Hasara tu
 
gg manzi 20160213_075403.jpg
 
Alafu Watu wanapiga nduru hapa Relireli haya Sukari kumbe mnanunua huku & Cement too aty reli inajengwa Ikibomolewa By the way nacheka na tena namuonea Huruma Huyo Mbunge, anatoboa siri za Serikali yao akidhani ako kenya, Woi huo amekamatwa
Hiyo sementi mnauza kidogo sana kwa hao Watu wa Mara sio eti Dodoma wanataka saruji ya Kenya.Tz ni nchi kubwa wewe
 
Back
Top Bottom