Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tulimaliza mjadala wa mabasi. Nilisisitiza mabasi apana vitu za kuringia mKenya. Basi zenyewe mnazitoa Kenya na zinakimbia VICHAKANI kwani 92% of your roads are UNPAVED.

MABASI ni vitu za kumfurahisha mTZ. Nyinyi bado watoto mnaringia mabasi.. Yaani BUSES!

Nawaonea HURUMA sana. View attachment 805195
AIBU!!
 
TUUSAN your silence is golden! Hivi basi hakuna! Tufunge mjadala au LA?

Ama tuiweke on hold hadi mwaka mtapata hiyo bullet train. Juu so far (2018) bado hamuwezani na NBO
TUUSAN nafikiri tunakubaliana hapa pia.
Itabidi mmetia fora. Muwe watu wakakamavu
 
TUUSAN nafikiri tunakubaliana hapa pia.
Itabidi mmetia fora. Muwe watu wakakamavu
Huu mjadala ni wewe tu namna ya kuufanya uwe endelevu...unaweza ukadodosa anything you want to know na ukajifunza mbali ya kua ni battle...sasa or seems ur fed up already which is technically not Okey for battle health
 
Nilimjibu ndugu yako huyo buses sio kitu cha kuringia sasa unahamishia lawama kwangu tena
Hapana TUUSAN. Wewe pamoja na wenzako mnaleta mapicha za mabasi na kuringa eti Kenya hamna buses kama hizo. Eti mabasi zenu ni mabasi za mbinguni.

TUUSAN tulikubaliana mabasi si vitu za kuleta hapa. Naona wewe unafuatilia lakini wenzako baana!

Wenzako wanakuaibisha na kuiaibisha nchi.

MABASI?

BUSES?
 
WESTY 🙂🙂

43233090141_3b4d119e12_o.jpg
 
Hapana TUUSAN. Wewe pamoja na wenzako mnaleta mapicha za mabasi na kuringa eti Kenya hamna buses kama hizo. Eti mabasi zenu ni mabasi za mbinguni.

TUUSAN tulikubaliana mabasi si vitu za kuleta hapa. Naona wewe unafuatilia lakini wenzako baana!

Wenzako wanakuaibisha na kuiaibisha nchi.

MABASI?

BUSES?
Basi za mbinguni
 
Huu mjadala ni wewe tu namna ya kuufanya uwe endelevu...unaweza ukadodosa anything you want to know na ukajifunza mbali ya kua ni battle...sasa or seems ur fed up already which is technically not Okey for battle health
TUUSAN huu ndio way forward! Napenda sana hii! Nitafurahia kujifunza vitu ambazo sijui.

Niko fed up na wenzako wasioleta anything new humu. Watu wenye uzalendo wa kushabikia bila ya kufikiria. Yaani hao wagumu sana ni wivu na povu tuu.

Tunasonga mbele vizuri kama ni kuelimishana. Utakubaliana mimi hoja nazoleta ni za kufungua macho na kuelimisha. Sio POROJO
 
Westy is developing fine, cant wait the completion of avic towers and One Africa Place.
 
Back
Top Bottom