Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

...
 
ICHOBOY amekubaliana na mimi huu mjadala Dar mmeshindwa! TUUSAN mkuu amekubaliana na mimi eti somehow NBO imeizidi Dar. Mimi pia nimekubaliana na mimi NBO jiji kuu

Admin! mjadala KWISHA!
...
 
...
 
...
 
MJERUMANI anasikitika sana. Yaani kama hivi ndio mTZ anafikiria, Mjerumani angetaka sana arudishe saa nyuma. Awachane na Urusi azingatie TZ.

Mbona hamuwezi fikiria? Ama Watanzania niache kujumlisha? Labda ni hawa MA Ichoboy wanawaaibisha??
...
 
...
 
Alafu cha muhimu ujue density hautushtui sisi kama waKenya. Hizo minara zenu hazina biashara. Hamna watu wa kuzikomboa. Minara ya glesi ya kufurahisha mTZ ati anaendelea. Kuendelea mkienda wapi nyinyi LDC?

PAMBANENI NA HALI YENU!!
...
 
...
 
UFUNGWE kabisa! Mjadala NBO kashinda na kutoweka already!

Kama hii ni battle, basi mTZ saizi ako na PTSD!

Yaani POST TRAUMATIC STRESS DISORDER

NBO imekua ikiwapa kichapo na inaendelea kuwapa VIPIGO! na itazidikuendelea na hizi vichapo!

DANGER!! [emoji88][emoji88]
 
nani kakwambia tumekopa hela za kujengea reli turkey na south Africa??mbona nyie mnapenda kuropoka hovyo?
wanamachungu kuona mchina kawajengea kwa mkopo alaf kawaletea train zilizotumia 50yrs agoπŸ˜€πŸ˜€
 
mshindi hajitangazi popote pale duniani,anatangazwa acha kuhangaika mzee.

kifupi endelea kupata strok maana hamkujua kina cha dar ni metre ngapi kimezama,imagine mmeweka mpaka randers za pinnacle but still kupewa kichapo in/out.
 
wanjala jana kaona kijitonyama ya sasa kakimbia mbio hajarudiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
mshindi hajitangazi popote pale duniani,anatangazwa acha kuhangaika mzee.

kifupi endelea kupata strok maana hamkujua kina cha dar ni metre ngapi kimezama,imagine mmeweka mpaka randers za pinnacle but still kupewa kichapo in/out.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] KICHAPO GANI??

KICHAPO gani Dar wametupea?

Kichapo gani??? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Imebakia mkubali hali yenu tusonge mbele. Apana haribu wakati na ndoto za alinacha* Ingawaje ndoto zenu nzuri sana.

Ati mshindi hajitangazi? Haya sisi waKenya watu tofauti sana. Tukishinda tutasema na KUUWEKA PEUPE Kuwa tumeshinda. Ati tunangoja.. Tunangoja nani au nini haswa??

Huu mjadala UFUNGWE!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…