Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wapi unga???? wapi sukari???πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

 
Sikuhiz unajionyesha namna ulivyo kiazi
Nidugu yako Icheoboy natania lakini nimekua nikiamini kijitonyama ni cbd huu muda wote kumbe ni majengo kadhaa yamejengwa pembeni mwa barabara.
 
Nidugu yako Icheoboy natania lakini nimekua nikiamini kijitonyama ni cbd huu muda wote kumbe ni majengo kadhaa yamejengwa pembeni mwa barabara.
Upande wa juu ni mikocheni alafu imepakana na mwananyamala ambayo haikupimwa...Ni sehemu inayobadilika Majengo ya ofisi kadhaa yamejengwa yaweza kuja kua transformed na kufaa kua CBD later kama wakaazi watakubali kuuza maeneo
 
UGANDA pia usipochunga wao pia watakuja nunua nchi yenu.

Tahadhari sana

Put some RESPECT on your elders!
 
wapi unga???? wapi sukari???πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

wewe mjinga sana!!

KENYA itakosaje UNGA na SUKARI??
uko vizuri wewe!

Business men are trying to make a kill!
Wanatafuta pesa na WATAZIPATA hizo pesa wakenya wapende wasipende!!

Hii akili Mtanzania anaweza kua nayo kweli??

WaKenya watu hatari. Watu wa ajabu. Watu ambao on average ni very clever kuliko the average African/tanzanian

UMEME! DANGER!! [emoji88][emoji88][emoji88]
 
Hii hapa ndio Dar hawataki kukubali!

Wako in denial kabisa! Mtanzania ni Nyani asiyeona ****** wake.

Sisi tumekubali VIBERA na slums zote. Tuko past acceptance na we are on our way to GREATNESS! (..and all it ever took was patience! S/O Joey BadA$$ we love you!)

Tahadhari wakenya. WaKenya akili zao nzito.
 
MKenya akifikiria.. Hufikiria RIGHT more than 78% of the time.

huu ndio mtindo going forward
 
Biashara zilizojaa na kuenea NBO na hata MOMBASA (Mombasa Hiii! We Love you!)

Apana ringia mKenya.
sasa mbona gor mahia hana hata banda la choo miaka 50 no developmentsπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Upande wa juu ni mikocheni alafu imepakana na mwananyamala ambayo haikupimwa...Ni sehemu inayobadilika Majengo ya ofisi kadhaa yamejengwa yaweza kuja kua transformed na kufaa kua CBD later kama wakaazi watakubali kuuza maeneo
huyo utasumbua kichwa chako bure πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Aah! Nilidhani wahenga hawakukosea waliposema PAKA akiondoka PANYA hutawala

Inaonekana huu wakati mmoja wakiwa hunting TZ walipuliza kiasi na wakakosea

PAKA ya NBO imekuja ikakojoa dar akaondoka lakini PANYA hawepo. Wanaangalia kwa mbali

WaKenya watu hatari sana. UMEME! danger! [emoji88][emoji88]
 
UGANDA pia usipochunga wao pia watakuja nunua nchi yenu.

Tahadhari sana

Put some RESPECT on your elders!
ukhekhe wanapitisha bomba huku litaajiri watanzania elfu 10 na litaingizia pesa tanzania kwa mwaka zaidi ya 1b usdπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
na watu wanapokufa na njaa kila mwaka wanakosa vp chakula??πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Leo imekua siku nzuri sana. Watanzania nimewaweza na kuwapiga kwenye game yao

Ninafuraha sana na naomba tuendelee vivi hivi

Mtakuja kukubali. Acceptance huja baada ya denial.

Laleni unono [emoji23][emoji23][emoji23][emoji88]
Nafikiri mmeamka vizuri.

Tuendelee. Watanzania tufunge mjadala once and for all. Naskia vibaya jinsi ninavyoDestruct popular opinions.

Leteni facts na mshtumu wenzenu waache POROJO.

WaKenya watu wakarimu. Watu ambao ni critical thinkers.
 
Hiyo Gas KENYA itanunua kutoka kwenu na tuConnect nyumba nyingi iwezakanavyo wakenya wafurahie maisha.

Nyinyi hiyo wakati Sidhani hii ndio itakua the norm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…