Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

bag of excuses..........you take nothing serious nowonder you are an LDC....in Kenya everything is taken seriously both positive and negative
Kwikwikwikwi. Najua sindano zimekuingia kwa kasi sana. Simba ni team kubwa sana kijana. Nipatie statistic ya team za kenya kufunga team za TZ. Tuanzie kwenye Kagame Cup. Yaani sisi tumewapiga mabao kila wakati. NNa ndio maana Michuano ya Afrika mashariki na kati mara kwa mara hufanyikia TZ. Huko kenya ligi huwa zinakosa mvuto kutokana na timu za kenya kukamia mechi na kuchukulia vita. Tunasubiri kagame cup inayotambulika na CAF na FIFA pia. Simba inaendeshws kibiashara kijana.
 
kwi kwi kwi... we are getting entertained by you people.... Amazing!
35082780_1729058067185733_4769216876154716160_n.jpg
 
Niliona Wachezaji wa simba wakipiga free kick zile za Shemeji nione..... Tihihi.. of which kwa rugby ingefetch good points
 
niliona
Mimi nawapongeza simba wamecheza kistaarabu na kutuliza mihemko ya wakenya. Mpira ni burudani na siyo vita bana. Hata hivyo nimegundua timu za kenya zikikutana na timu za TZ wakenya wanaondoka kwenye mpira na kufanha mechi iwe kama vita. All in all Go mahaya ni team ndogo sana kwa simba kwa analysis zangu nilizoziona leo.
wale kalio Bangi fc walivyokamia mechi aisee, Kama Vita.
 
kwi kwi kwi... we are getting entertained by you people.... Amazing!
View attachment 799570
Hayo kijana mambo simple sana. Sisi tulishaga zoea mpira wa utani wa jadi. Wewe naona unaona kitu cha ajabu. Kwikwikwikwikwi. Mpira kwetu ni burudani ndiyo maana kuna watani wa jadi. Na Dar darby is the one of bigest in Africa. Kwikwikwikwi. Tuna wasubiri kagame vipofu.
 
Leta link

Ofisi ya Gor iko nyayo stadium. .....n.a. kuna clabu ya ku burudika humo pia iitwaye "kuche kuche"....
Kwikwikwikwi. Najua sindano zimekuingia kwa kasi sana. Simba ni team kubwa sana kijana. Nipatie statistic ya team za kenya kufunga team za TZ. Tuanzie kwenye Kagame Cup. Yaani sisi tumewapiga mabao kila wakati. NNa ndio maana Michuano ya Afrika mashariki na kati mara kwa mara hufanyikia TZ. Huko kenya ligi huwa zinakosa mvuto kutokana na timu za kenya kukamia mechi na kuchukulia vita. Tunasubiri kagame cup inayotambulika na CAF na FIFA pia. Simba inaendeshws kibiashara kijana.

Ati kagame cup..! jeez.. hiyo tutaleta Gor D
 
Govi Depay, Simba ni Team Kubwa, Not like your Gor Mahia, Congrats though.

Hakuna team kubwa hapo.... That is equal to our Kariobangi sharks... In terms of skill hiyo team ingekuwa kwa Kenyan Premier league ingekuwa inafuta mkia.... Na Giza mwana Govi. Mtu mzima akikuongelesha unatii.
 
Hapa umeanza kutoa mavi sasa. Nimekuambia ulete statistics za mechi inazomtambulika kwenye FIFA baina ya team za Kenya na TZ. Ukishidwa naleta mimi.
 
simba wana bahati kagere was out mapema.....tungeosha nyinyi nane.....ni huruma tuliwaonea... ... no Tanzanian team can match the current Gor Mahia.The only continental trophy holder in Eastern Africa
 
Back
Top Bottom