Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,961
- Thread starter
- #99,101
Yani nimegundua hawa ndugu zetu walikuwa wamekamia sana. Kutokana na Ranking hizi walikuwa wametumwa kuua siyo kutoa burudani. Hebu soma hapa kidogo:-you will bring all the stats but the reality sucks you, Kenya na football wapi na wapi? wale wachezaji wenyewe wa Gor mahia utadhani wametoka mashimoni, Wanatisha yule stricker aliyefunga first goal kila wakati yupo offside position, Nguvu Kibao dah kama Vifaru aisee.
halafu hata kurusha matangazo ya mpira hamuwezi, why dont that sportpesa hire AZAM, a professional Media to air this bonanza.
Simba SC rated best club in East Africa