Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hongera Gor Mahia kwa Ushindi, But nawakumbusha tena kuwa that was Simba B, Hatuwezi kuleta our professional Players like Emanuel Okwi, John Boko, Asante Kwasi kwenye Unprofessional Bonanza being aired by Unprofessional Media and in Those Poor facilities,
Please Let me remind you that natamani sana Timu za Kenya zinavyokamia gemu walahi hiyo spirit tungekuwanayo wabongo tungefika mbali, Your players are so serious and organised on the pitch,

Lol........Everton here we come

This was a good training for CAF matches too
 
Kipofu kaona mwezi humu ndani hatulali. Ngoja tusubiri kagame cup tuwaone. Hata hivyo Simba wachezaji kibao hawakuwepo. Asante Kwasi, Emmanuel Okwi, Haruna Niyonzima, Bokko nk.
 
kagame cup huwa hawaambuliagi kitu...... huwa wanaishia juu kwa juu
 
Ke

Kwenye football Tz is ahead of Kenya. Don't be deceived by these Bonanzas.

Yenu ni mbwembwe tu za kila siku.... You see this is a classic example of Danganyika. So much ado about nothing. I sat in front of my TV today expecting to see Barcelona from south.... Duuuh. Sincerely speaking.....There is No skill in Tanzania.
 
Ke

Kwenye football Tz is ahead of Kenya. Don't be deceived by these Bonanzas.
Najaribuvkuwaza tu jinsi Go Mahaya walivyokuwa wamekamia huu mpira. Ingetokea simba wangekuwa mbele hata kwa bao moja tu, hakika vijana wa kenya wange vunja miguu vijana wetu. Nimeutazama mpira mwanzo mwisho. Kusema kweli Simba hawakuchukulia serious but Go Mahaya walikuwa wamekamia sana. Unaweza kuona tu walipokuwa wanashambuliwa walikuwa wanakaba kwa hasira kama wavuta bangi.
 
Hahaha Gor Mahia the only continental trophy holder in East Africa.........
This team always makes me happy..kesho kwa ofisi ni raha tupu
 
Ni hujumaa[emoji23][emoji23] i honestly thought wametushinda football only, kumbe basi na ofisi za ichogal hazijasaidia kucheza mechi
so pamoja na ushindi gor mahia ina maendeleo gani?? where are the gor mahia developments??😀
ukizitaja nitag plz
 
Najaribuvkuwaza tu jinsi Go Mahaya walivyokuwa wamekamia huu mpira. Ingetokea simba wangekuwa mbele hata kwa bao moja tu, hakika vijana wa kenya wange vunja miguu vijana wetu. Nimeutazama mpira mwanzo mwisho. Kusema kweli Simba hawakuchukulia serious but Go Mahaya walikuwa wamekamia sana. Unaweza kuona tu walipokuwa wanashambuliwa walikuwa wanakaba kwa hasira kama wavuta bangi.

bag of excuses..........you take nothing serious nowonder you are an LDC....in Kenya everything is taken seriously both positive and negative
 
Mimi nawapongeza simba wamecheza kistaarabu na kutuliza mihemko ya wakenya. Mpira ni burudani na siyo vita bana. Hata hivyo nimegundua timu za kenya zikikutana na timu za TZ wakenya wanaondoka kwenye mpira na kufanha mechi iwe kama vita. All in all Go mahaya ni team ndogo sana kwa simba kwa analysis zangu nilizoziona leo.
 
Tihahahhaaaaa..... Kwi kwi kwi kwi..... Absolute boring football. No skill, No talent, Weak players.
 
Mimi nawapongeza simba wamecheza kistaarabu na kutuliza mihemko ya wakenya. Mpira ni burudani na siyo vita bana. Hata hivyo nimegundua timu za kenya zikikutana na timu za TZ wakenya wanaondoka kwenye mpira na kufanha mechi iwe kama vita. All in all Go mahaya ni team ndogo sana kwa simba kwa analysis zangu nilizoziona leo.
wanafurahia ushindi wa sportpesa wakati mashindano mengine yaja na huwa hawana record
 
Back
Top Bottom