Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We angalia venye Gor wanapewa trophy acha hasira😀😀😀
mi na mpira wapi na wapi??
ebu chukua muda jifikirishe ikiwa gor au simba wanachukua trophy,Mimi nafaidika na nini??...am not a fool just the way you are,ni-celebrate kitu ambacho sihusiani nacho..oohh!!..what a mad??
 
Ni hujumaa[emoji23][emoji23] i honestly thought wametushinda football only, kumbe basi na ofisi za ichogal hazijasaidia kucheza mechi
 
Now I know, Tanzanians have the passion but the talent is Not there........
 
Losermatic 😀😀😀
34929247_632802843755620_333260277866823680_n.jpg
 
Ii Simba ndo champions wa Tz😀😀😀...Baadala wacheze ball hao ni kupura na kuanguka😀😀
kwenye ball kuna vitu vitatu
kungwa,kungwa ama kutofungana

na kwenye funal kuna vitu viwili kufunga,ama kufungwa ......ni vitu vya kawaida

hongereni sana majirani[emoji112] [emoji112]
 
kwenye ball kuna vitu vitatu
kungwa,kungwa ama kutofungana

na kwenye final kuna vitu viwili kufunga,ama kufungwa ......ni vitu vya kawaida

hongereni sana majirani[emoji112] [emoji112]
 
'Ni hujuma, ni sisi mashabiki tunaumia'. Usicheze na Gor K'Ogalo sirkal. Shida hiyo. Simba amekatwa mkia akarudishwa serengeti
 
mi na mpira wapi na wapi??

ebu chukua muda jifikirishe ikiwa gor au simba wanachukua trophy,Mimi nafaidika na nini??...am not a fool just the way you are,ni-celebrate kitu ambacho sihusiani nacho..oohh!!..what a mad??

That's called PRIDE my friend, I'm always proud and happy when a Kenyan team wins anything.
 
Wabongo msijali bado mnatushindia muziki,the only thing mnashinda kenya
Hongera Gor Mahia kwa Ushindi, But nawakumbusha tena kuwa that was Simba B, Hatuwezi kuleta our professional Players like Emanuel Okwi, John Boko, Asante Kwasi kwenye Unprofessional Bonanza being aired by Unprofessional Media and in Those Poor facilities,
Please Let me remind you that natamani sana Timu za Kenya zinavyokamia gemu walahi hiyo spirit tungekuwanayo wabongo tungefika mbali, Your players are so serious and organised on the pitch,
 
Back
Top Bottom