kuelekea uzinduzi...........safi kabisa
Mkuu mwambie kuleeee kwenye jengo refu kuna Mall ingine(300m tu) halafu kushoto huku about 0.5km kuna Mall ingine, ukienda mbele zaidi kama 2km kuna mall kubwa sana (wakati inatengenezwa ilikuwa biggest EA) Quality Centre.
Ghai hapa ni jiji?Sio kubahatisha
![]()
Chocha buda!Ghai hapa ni jiji?
Na Africa MasharikiLa Kenya
Hapana ni DAR IS ASLUMDar es sluum
![]()
Walishindwa competition ya Hight floors watawezaThe concerete in taking shape. I will post and repost and repost a thousand times in a day once it's over. These are just residential towers at 30 floors already. The tallest tower (43 floors), is still at 19th floor and not captured in this shot....viva Westlands, viva NairobiView attachment 797406

Alafu ujue BRT ni upcoming project iko dar pekee 90% ni daladala![]()
Kwani Dar the biggest percentage ni Daladala zimechoka?
![]()
Haiji kutokeaNa Africa Mashariki
Yenu ya yenye km 4 iko wap
sio hii collapsed sigiriKusema ukweli inakaa collapsed footbridges.
![]()