Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

pongezi kwa gormahia, sasa fainali ni gor mahia vs simba.
 
nlidhami ni uwanja ya nyasi kumbe ni artificial tuff yenye FIFA haitambui...Bure kabisa
Hawa watu wanatia aibu tena wanashangaza sana...yenu mtu mzima analeta picha ya artificial turf kisha anaona ako mbele sana!!! Nimewashangaa kiukweli...hata pale city stadium kuna artificial turf na hatuongei...then kuna ingine pia pale parklands ya hockey na hata picha hatujawahi rusha huku...kumbe kule bongo artificial turf ni big deal sana!!!
 
Bora ya huu Mara mia kuliko afraha sijui kasarani yaani Kenya ovyo kabisa
Artificial turf ni muhimu kwenu coz hamna exposure na uelewa wa mambo...nakuambia viwanja vya nyasi bandia ziko Kenya na hutosikia mtu akitaja
 
Artificial turf ni muhimu kwenu coz hamna exposure na uelewa wa mambo...nakuambia viwanja vya nyasi bandia ziko Kenya na hutosikia mtu akitaja
ziko wapi ndio zile tumeoneshwa hapa😀😀😀
 
Kwa nini msiondoe corruption tz inawaacha sasa .corruption kwa magufuli uifanyie wap
Tanzania inatuwacha na nini wakati bado mko kwenye ile kundi ya ldc na uchumi wenu inatoshana na uchumi wa Nairobi!!¿ Naona ndoto inakupeleka pabaya
 
hata uwanja wa Santiago benabeu wa Barcelona Una nyasi za bandia nyie bakini na huo ukoko hàpo nakulu.
 
Duuuu wakati tz ni sita na mwanza inaweza zidi Kampala na arusha inaizidi hata kigali
Tofauti iloyopo kati yetu na nyinyi ni kwamba nyinyi mnaita vijiji cities jambo ambalo sisi hatufanyi...nasikia huko kwenu hadi vijiji vya Tanga, Iringa na Mbeya ni cities!!! Jiulize ni kwa nini Nakuru au Eldoret sio cities huku kwetu ilhali ni kubwa tena zimeendelea kushinda hizo viji zenu tatu nilizotaja
 
hata uwanja wa Santiago benabeu wa Barcelona Una nyasi za bandia nyie bakini na huo ukoko hàpo nakulu.
That's an artificial base upon which natural grass grows and the combination is 90% natural grass and 10% artificial so we can rightfully call it hybrid. There's nothing artificial in it like those things you guys were showing us here. Santiago bernabeu has become the first stadium in Europe to use such a combination. You will never find any traces of artificial grass in any major European stadiums save for Bernabeu
 
Which one did you expect to be there? You have a freedom of expression so you are allowed to air your opinion.
Tuwekee list apa...mkeka uliotoka juzi hapa Ni makerere ndio kinaongoza sasa sijui unajidanganya ili nn kitokee
 
sheng ni lugha ya wakora na wakenya mafukara.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Nakuru imeendelea wakati wanaviwanja vya ajabuajabu kama afraha .Nakuru inaweza nusa na hata mji wa iringa kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…