Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ukajua dar ndio imeishia hapo????
angalia picha ya mwaka gani hio😀😀😀 heheh dar hamuiwezi hata kwa ukucha kuna majengo kibao ssna hapo hayaonekani
Leo umekubali hiyo ni Dar? hehehe
 
i can guarantee you, uki master kiswahili cha tz, utakuwa una-date na watoto wazuri wa nairobi.

kiswahili kipo very romantic na watoto wazuri wa nairobi wanavutiwa sana na chali anayebonga kiswahili kizuri hasa cha kitz.

nakumbuka siku nikiwa kwa matatu hapo nai, simu yangu iliita halafu kwa siti alikuwa amekaa dem mmoja mzuri sana.

aliposikia vile nilivokuwa naongea kiswahili yangu kwa simu, she got very excited and couldn't hide her feelings towards me.

long story short, tukawa mabeshte na tuka establish a short term relationship.
thanks to my tanzania swahili. kenya girls love it.

achana na sheng, lugha ya wakora na machokoraa wa nairobi.
ha haa hakika.......ni wanakamatika kirahisi sana
 
Leo umekubali hiyo ni Dar? hehehe
useme hapa maana usiwe na akili za kitoto hii ndio nairobi munataka ishindane na dar😀😀😀
318B18BD-57E9-4946-BBBD-F5590BE69664.jpeg
 
useme hapa maana usiwe na akili za kitoto hii ndio nairobi munataka ishindane na dar😀😀😀
View attachment 796582
That picture must have been tsken from the moon....but one can still see green environment, well-planned residential areas, roads etc. Ajabu ni kwamba ile yenu inaonyesha one tall bulding surrounded by slums left right and center
 
Back
Top Bottom