Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sidhani kama Singida wanaweza kuhimili mashambulizi ya Gor kwa dakika 90. Leo wamedefend kuruka lakini Ingwe si Kogalo.
haya ni maneno tu hata kwenye kanga(leso za kina mama) yapo. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Shirika la Fedha Duniani IMF tarehe 3/6/2018 limetoa orodha ya nchi 28 maskini zaidi duniani ambapo wananchi wake wanaishi chini ya $ 1,000/= kwa mwaka....

28. Sudan - GDP per capita: $ 992
27. Benin $ 966
26. Chad $ 919
25. Nepal $ 918
24. Mali $ 917
23. Guinea-Bisau $910
22. Ethiopia $ 909
21. Comoros $ 869
20. Tajikistan $ 848
19. Haiti $ 847
18. Rwanda $ 819
17. Guinea $ 816
16. Burkina Faso $ 750
15. Liberia $ 722
14. Uganda $ 711
13. Togo $ 698
12. Afghanistan $ 601
11. Niger $ 510
10. Sierra Leone $ 505
9. The Gambia $ 500
8. Madagascar $ 479
7. DRC $ 477
6. Mozambique $ 472
5. Yemen $ 449
4. Central African Republic $ 425
3. Malawi $ 342
2. Burundi $ 339
1. South Sudan $ 246

NB:
taarifa hii itawaumiza sana wakenya maana watakua wana scroll down bila kupata walichokusudia....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
duh aisee umekamata kwenye makei properπŸ˜€πŸ˜€

ama kweli ngariba haogopi mkojoπŸ˜›πŸ˜›

walijua bado ni ile tz ya 90s na uncle magu bado anatania kwakweli magu chuma
 
kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…