Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wapi ameandika kua kwanzia leo mm sidhamini simba ukiona sehem kaandika nitagπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
umeskia neno simba damu unajua maana yake??
5yr long term deal na Sportpesa. ikiisha, inaandkishwa deal nyengine. Mo de Uji atangoja sana
 
Kwahiyo unahisi nafasi ya MO imechukuliwa na sportpesa!!!!
yani hawa watu ni wajinga sijapata kuonaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ alaf wanavoongea utasema sport pesa ni yao 100% heheh kumbe wana 48 out of 100 zilizobaki 52 zinamilikiwa na wazunguπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
heheeh million 225 wanaona imetolewa billion wakat kwao team za tanzania ni pesa ya mbuzi tuπŸ˜€πŸ˜€
Ni pesa wametoa wanaita,halafu mjinga mmoja anapambanisha nafasi ya azam na sportpesa tz.

Hiyo pesa hata kumlipa manara peke yake kwa mwaka haitoshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…