Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hamdhamini aje ushindani wa sportpesa wakati Sportpesa ndio wanadhamini hizo vilabu vyenu vya kishenzi?
sportpesa ni kivuri tu.......ila vilabu vilivyodhaminiwa na sportpesa havitegemei hata robo ya pessa kutoka sportpesa na haziendeshwi na sportpesa.......

ndiyo maana hatuna time nayo tunakuja tu kuwachangamsha..........ila apande dau aone jinsi hizo team zitakavyocheza
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€sportpesa tu inaizidi benki yenu kubwa kabisa kwa revenue...hizo team zenu zote zinadhaminiwa na sportpesa...vijana wa bongo wanapoteza hela zao wakicheza sportpesa wanabaki maskini hohehahe...
 
utaskia azam tissue, azam soda, azam premende, azam karanga, azam mutura mpaka azam condom...duh! tusubiri sasa azam hospital au tayari ipo?
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€sportpesa tu inaizidi benki yenu kubwa kabisa kwa revenue...hizo team zenu zote zinadhaminiwa na sportpesa...vijana wa bongo wanapoteza hela zao wakicheza sportpesa wanabaki maskini hohehahe...
elewa nilichokuambia........team za tanzania hazitegemei pesa kutoka sportpesa vile vile haziendeshwi na sportpesa kuwa mdhamini si tija hizi team zilikuwepo kabla ya sportpesa....

nakingine si club zote zinaudhamini wa sportpesa mfano azam haiina udhamini wa sportpesa na club kadhaa
 
Swali langu ni rahisi sana: hizo vitu zote umetaja zimesaudiaje hizo vilabu zenu kunawiri? mbona unashindwa kujibu swali rahisi?
hujui vinasaidia nn?? au unataka ubishi wa kipuuzi team ina miaka 50 gor mahia ina maendeleo gani???? ikiwa haina hata ofisi wala uwanja wa michezo kuna faida ganiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
utaskia azam tissue, azam soda, azam premende, azam karanga, azam mutura mpaka azam condom...duh! tusubiri sasa azam hospital au tayari ipo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Azam ni kila kitu huko uskii Hadi Kuna Azam Fc[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kwani walikosa jina... Aty Azam hio sa ndio nini
 
Hizo basi hazikusaidia yanga kuwin kwani na vile u brag about them but kakamega team inachapa yanga 3 goals[emoji51] [emoji51]
kwanza yanga ni team ya biashara na inatengeneza revenue kubwa kuliko team zote za kenya combine hehheheπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ na imetoa ajira kwa watu zaidi ya watu 100 na kuendelea huoni faida bado???
 
Peleka muindi kazini kama kawaida kama Dawa kuwachapa ni kama vile tulichapa Yanga ama Taifa stars na Zanzibar stars combined.... nitag mkitushinda in anything.
hasira za nn sasa lexus inakutoa imani hviπŸ˜€πŸ˜€
 
Sawa Ichoboy. Nadhani wewe ni mwarabu fulani anayekula pesa ya baba yake. Usitegemee mali ya wazazi kijana. πŸ˜€πŸ˜€. Hata hivyo hongera, sikujua apple watch ina washikaji Tanzania.
unaona sasa unaanza kunijadili hunijui wala sikujuu hilo ndio tatizo lenuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ mm nafanya shugli zangu sitegemei cha baba wala cha nduguπŸ˜›πŸ˜›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…