Peleka muindi kazini kama kawaida kama Dawa kuwachapa ni kama vile tulichapa Yanga ama Taifa stars na Zanzibar stars combined.... nitag mkitushinda in anything.acha hasira basi yani lexus inakuumiza hvo 😀😀
Sawa Ichoboy. Nadhani wewe ni mwarabu fulani anayekula pesa ya baba yake. Usitegemee mali ya wazazi kijana. 😀😀. Hata hivyo hongera, sikujua apple watch ina washikaji Tanzania.acha hasira basi apple watch sport😀😀😀
View attachment 792504 View attachment 792505 View attachment 792506
Sijapendezwa na hayo magwanda aliyojitwika. Hawezi afford nguo nzuri?sisi kwetu ni kufanya tour europe na USA.
mashinani tumeachia wakenya.
hapa kazi tu. from tanzania to the world.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
View attachment 792607
Tena Azam ni team... Kwani Kila kitu Tz ni Azam[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]asante azam fc
Peleka muindi kazini kama kawaida kama Dawa kuwachapa ni kama vile tulichapa Yanga ama Taifa stars na Zanzibar stars combined.... nitag mkitushinda in anything.
haki nyinyi watu ni wajinga sijapata kuona. ichoboy anacheza na akili yenyu nanyi bila kujua mnajadili kile anachotaka yeye. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sawa Ichoboy. Nadhani wewe ni mwarabu fulani anayekula pesa ya baba yake. Usitegemee mali ya wazazi kijana. 😀😀. Hata hivyo hongera, sikujua apple watch ina washikaji Tanzania.
leo ni wakora wa kariobangi vs simba sc ya tanzania. tusubiri matokeo kuanzia mida ya saa kumi jioni. acheni porojo.Hizi Club za Tz Zinafaa kuchezea Tz They know nothing.... [emoji23] [emoji23]
Sawa. Usianze excuses ati ni team Bleo ndio ile siku sasa.
wakora wa kariobangi vs simba sc. mabingwa wa vpl tanzania 2017/8.
Tuingie Sportpesa Tubet tuone nani atatoka akilia[emoji23] [emoji23] [emoji23]leo ni wakora wa kariobangi vs simba sc ya tanzania. tusubiri matokeo kuanzia mida ya saa kumi jioni. acheni porojo.
Hahahaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] ataanza Stori za Ofisi hapa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sawa. Usianze excuses ati ni team B
mimi ni shabiki kindakindaki wa simba sc, siishabikii simba kwa sababu ya uzalendo wa kitanzania bali naishabikia kwasababu ndio ndimu ninayoipenda tangu ningali mdogo.Sawa. Usianze excuses ati ni team B
sijawahi kubeti na wala sitawahi kushiriki mambo ya betting.Tuingie Sportpesa Tubet tuone nani atatoka akilia[emoji23] [emoji23] [emoji23]
mpira dakika 90 sio porojo za social media.Hahahaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] ataanza Stori za Ofisi hapa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Atauliza ofisi ya Kariobangi wakishapigwaHahahaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] ataanza Stori za Ofisi hapa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Poa. Napenda unavyozungumza kama fan halisi... Tungoje matokeomimi ni shabiki kindakindaki wa simba sc, siishabikii simba kwa sababu ya uzalendo wa kitanzania bali naishabikia kwasababu ndio ndimu ninayoipenda tangu ningali mdogo.
so matokeo yoyote kuhusu simba ya kufungwa au kufunga, nitayapokea kwa mikono miwili.
livin' tandale is better than to live in fucking korogocho area,that korogocho area is a right place for pigs.!no Tanzanian can even walk throughout those streets..picha ya nini mtoto wa tandale?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Bet ilikuchomasijawahi kubeti na wala sitawahi kushiriki mambo ya betting.
huo ndio msimamo wangu buda.
Huyu hakuna biashara inamshinda,zingine anafanya kuwaachia watu wengine fair.Tena Azam ni team... Kwani Kila kitu Tz ni Azam[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ila najua wewe sio shabiki wa kariobangi ila unaishabikia tu kisa inacheza na timu kubwa ya tanzania. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Poa. Napenda unavyozungumza kama fan halisi... Tungoje matokeo