Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bakhresa hashindwi kitu anaweza kujenga kiwanja matata kwa ajili ya racing. Jamaa aliagiza mabasi zaidi ya 1000 wafanyabshara wa mabasi wakaiomba Serikali jamaa asifanye biashar hiyo. Serikali ikamuomba naye akakubali.

Mkoa kwa mkoa Racing

 
halafu utawasikia wakenya vilaza wa jf wakipiga porojo kuhusu product za azam ilhali mwezi february mwaka huu, mamlaka inayohusika na usafiri wa majini nchini kenya ilituma maofisa wake tz kuja kukutana na mzee bakhresa ili kupata ushauri wa kitaalamu kuhusu uendeshaji wa biashara ya usafiri wa majini.
viva tanzania.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Waache wizi. Ndio msingi wa kila kitu.
 
hahahah Lupita is global bana...diamond pengine tu pale Tandale...kwanza black panther imemjenga sana Lupita...kisha tuje kwa Wanyama...sasa diamond ndo nani hahahaha
That wa nyama introduced his entire family to Nandy, the whole Kenyan Hollywood came to meet Nandy just a Tanzania's upcoming got the country’s attention
 
hiooooo πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
hvi wakenya kila siku majengo kuanguka nairobi kuna tatizo gani hao civil engineers walienda kusoma nn
😱😱😱😱😱😱😱😱


 
hvi wakenya kila siku majengo kuanguka nairobi kuna tatizo gani hao civil engineers walienda kusoma nn
😱😱😱😱😱😱😱😱

civil engineers wao walienda shule kusomea ujinga. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
daraaja limekwenda chini angalia watu wanavovuka hapo darajani alaaf wanakwambia MLDCπŸ˜€πŸ˜€
 
vile wakenya wa jf wana monitor hii battle jumapili ya leo.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
waaaaa the only zipline imefunguliwa tanzania juzi wakati kenya zipo mingi sana kutoka kitambo.
nilidhani unasema tz hakuna zipline at all... kumbe unasema imefunguliwa juzi.
very stupid point. [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…