Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ichoboy ODM party was last used in 2007 in general election. 2013 Raila used CORD & 2017 he used NASA, so you are posting pictures za 10yrs+ zilizopita.View attachment 792283
link sinimeshakupa au hunaridhika yani ww unataka kunidanganya mm kisum hakuna baiskeli taxi in kisum wakat nimetoka huko mwaka jana😀😀😀😀😀
 
endelea kuota ndoto....tz wanakuja for vacation,kenya wanakuja for humanitarian issues.
refer what some of them did last year.
tz ya sasa ya JPM sio tz ya zamani ya kikwete.
hapa kazi tu.
Tanzagiza ya Magufuli ni ile ya 80s umeme 1300MW kusema ukweli haiwezi tosheleza Nchi ya 60 million bongolalas...tag me mkifika 1500MW....
 
One must be such an imbecile to imagine that the use of bicycles in towns and cities is bad....... That's just a retrogressive head with faeces in between the ears.....
Amsterdam
View attachment 792268
View attachment 792269
so unataka kutudanganya hzo ni taxi zinabeba abiria amsterdam hahaha bwege kweli ww yani unajiaibisha mbele za wanaume kua hzo zinabeba abiria???😀😀
 
link sinimeshakupa au hunaridhika yani ww unataka kunidanganya mm kisum hakuna baiskeli taxi in kisum wakat nimetoka huko mwaka jana😀😀😀😀😀
Basi eka picha ya mwaka jana na link inayoonyesha tarehe, si iyo ya kwanza enye haina date.
 
Izo picha ameweka hapo zote ni za between 2000-2007. Nimemwambia alete link enye inatoa date na amekataa kuleta
so leta ushahidi kua 2018 hakuna city taxi baiskeli in kisum alaf uone ntakachojufanya 😀😀😀😀
 
so leta ushahidi kua 2018 hakuna city taxi baiskeli in kisum alaf uone ntakachojufanya 😀😀😀😀
From 2010 piki piki and Tuk Tuk have overtaken baiskeli. Baiskeli haitumiki siku izi.
 
Hapo kwa stadium bado Ziko under renovation kwa hivo utangoja ziishe..
Alafu weka churches za Mwanza tuoneView attachment 792279View attachment 792282View attachment 792287
heheheh nyamagana city football stadium
81252E24-9C39-4F16-9495-9A3CAB5AE7C5.jpeg
563566D4-0924-4E4F-966F-815F5E3C30C2.jpeg
3FE15C14-B981-4A24-BB00-F02F4A22B5A2.jpeg
A307665A-D726-4FB5-B632-77C5AAE60788.jpeg
B16D0F9C-65A0-4FAB-9341-3DC63A1E9F0B.jpeg
 
link sinimeshakupa au hunaridhika yani ww unataka kunidanganya mm kisum hakuna baiskeli taxi in kisum wakat nimetoka huko mwaka jana😀😀😀😀😀
Maybe hukuwa na pesa ya kuchukua piki piki ndo maana ulitafuta bike
 
Maybe hukuwa na pesa ya kuchukua piki piki ndo maana ulitafuta bike
hehhehe baiskeli zimejaa kuliko magari😀😀
kila kona uber taxi baiskeli na sio kisumu tu zimejaa nusu ya kenya😛😛😛😛
 
hii ni just a town and not a city hehehe
wapi duniani umeona city ina uber taxi baiskeli?
😀😀😀😀😀😀
Mumbai, Delhi, Calcutta,Kisumu, Nakuru, Islamabad and Karachi na kama ziko LDC unitag...
 
Depay leo anatudanganya kua amsterdam zile baiskeli ni za kubeba abiria leo nimecheka sana 😀😀
 
Back
Top Bottom