Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

i knw the place is called kondolee hapa ndipo watu wa hali ya chini sana huishi kwenye vibanda vyao
View attachment 791619
kupo rafu sana halafu sijui hiyo highway wameijenga kwa nini...[emoji2] [emoji2]

maana bado mji hauna mahitaji wakuwa ni hiyo kitu.....after 50yrs foreni kama kawaida.....wakenya hawafikirii future
 
lol ati metropolitan......hahaha
about last year... hahaha[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23]
IMG_20180601_221706.jpg
 
[emoji121]️[emoji121]️[emoji121]️[emoji121]️[emoji121]️[emoji121]️[emoji121]️[emoji121]️[emoji121]️[emoji121]️[emoji121]️[emoji121]️[emoji121]️[emoji121]️[emoji121]️
ma-comrade bila shaka mnaikumbuka ile project ya kijichi-tuangoma ambayo ilitakiwa kukamilika mapema mwaka huu.

nilipost maelezo sambamba na picha zake
hapa mwaka 2017 mwezi september. (refer the post above).

well, this is june 2018,mambo ya ile project yapo on fire...bumper to bumper... hapa kazi tu...porojo tumeachia wakenya.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]

View attachment 791676View attachment 791679View attachment 791683View attachment 791685View attachment 791686
Nilipita hio barabara weekend iliopita
IMG_20180527_120018.jpg
IMG_20180527_115820.jpg
IMG_20180527_115850.jpg
 
[emoji121]️[emoji121]️[emoji121]️[emoji121]️[emoji121]️[emoji121]️[emoji121]️[emoji121]️[emoji121]️[emoji121]️[emoji121]️[emoji121]️[emoji121]️[emoji121]️[emoji121]️
ma-comrade bila shaka mnaikumbuka ile project ya kijichi-tuangoma ambayo ilitakiwa kukamilika mapema mwaka huu.

nilipost maelezo sambamba na picha zake
hapa mwaka 2017 mwezi september. (refer the post above).

well, this is june 2018,mambo ya ile project yapo on fire...bumper to bumper... hapa kazi tu...porojo tumeachia wakenya.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]

View attachment 791676View attachment 791679View attachment 791683View attachment 791685View attachment 791686
wanatakaga kota.......sasa wazichek juu jinsi zinavyo shine....
 
Hayo yote haijalishi. In its current state, Tanga haifai kuitwa city hata kidogo. it's far from being called a city. Kwa upande wa planning hilo ntakubaliana nawe. It's well-planned than any town in tz, dar included ila kuitwa city hapo sujui mlitumia which guidelines. Tanga ni ndogo sana for a city status. Hata Nakuru sio city huku kwetu but ni kubwa tena imeendelea kushinda Tanga mbali sana

screenshot-en.wikipedia.org-2018-06-01-14-28-56.png
 
Back
Top Bottom