ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
mtu mzima hatokwi na povu namna hii😀😀Tanga Haiwezi Fikia Ocha kwetu buda... Hio ni Takataka bana
mtu mzima hatokwi na povu namna hii😀😀Tanga Haiwezi Fikia Ocha kwetu buda... Hio ni Takataka bana
muhindi ndio nani??? hehehe acha majungu bana kisa lexus😀😀😀😀Ile ya muindi?
is eldoret a city???😀😀 is kisumu a city???Tanzanians kujeni hata mpime towns zenu hizo na zetu mtakubali mko nyuma kweli....hata malindi ni kubwa kuliko tanga but its not yet a city
Wakamba ni Wakamba Nauliza Msukuma ndio gani?? I know 0 things about Tz teach me[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kwani wakamba ni watu gani hao??😀😀😀
mm siwajui wakamba ni watu gani na sijui wanatoka county gani??? 😀😀😀😀 heheh tanzania ni nchi kubwa sana yenye makabila zaidi ya mia lakini ndio the most peaceful country in africaWakamba ni Wakamba Nauliza Msukuma ndio gani?? I know 0 things about Tz teach me[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sportpesa inadhamini team,azam yuko na yake kabisa.azam sports club.2 Hell na Hizo Azam zenyu.... Things that Make no sense... Speak of Big Things like Sportpesa ama M pesa... Recognized world wide.. View attachment 791537
Sasa Unadhani Tanga ni Tishio kwangu?? Hio ni SOKO ya VIAZI... Bure Kabisamtu mzima hatokwi na povu namna hii😀😀
leta county nyingine ni kuburuze vzr tu😀😀Sasa Unadhani Tanga ni Tishio kwangu?? Hio ni SOKO ya VIAZI... Bure Kabisa
hehehe hawaijui azam vzr hawa 😀😀😀😀Sportpesa inadhamini team,azam yuko na yake kabisa.azam sports club.
Halafu sportpesa kwa tz ni upuuzi tu,huwezi iweka ligi na role ya azam tz.
😀😀😀😀😀😀😀 maskini ya MunguSasa Unadhani Tanga ni Tishio kwangu?? Hio ni SOKO ya VIAZI... Bure Kabisa
that is just comedy na sio kweli😀😀😀
jamaa kawapa ajira wakenya
hiyo ni NASAGhai... Hii ndio Azam[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Acheni jokes Sazingine bana
Muajiri wako.muhindi ndio nani??? hehehe acha majungu bana kisa lexus😀😀😀😀
Yes Kisumu is a city!!!...is eldoret a city???😀😀 is kisumu a city???
MO DEWJI AJIONDOA SIMBA KISA SPORTPESA – Yetu Mediathat is just comedy na sio kweli😀😀😀
This is Kisumu the west side city.. Kisumu inaingia Kwanza mara 5 bro... Ujue sitaki nikuaibishe leo so siweki BARABARANI za kisumuYes Kisumu is a city!!!...
City number 3 imeshinda number 2 ya Tz na MBALI.. View attachment 791543View attachment 791566View attachment 791561View attachment 791562View attachment 791563View attachment 791565View attachment 791564View attachment 791567View attachment 791569View attachment 791571View attachment 791574
hasira ikizidi, kumbatia transformer ya kenya power. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mnabeba Hizo takataka za Azam Mombasa kujidai ni imported product na hata hajulikani.. Nkt!! Azam My Ass