Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Upeo wa wakenya ni kituko,huwa nashangaa wanajidai kwanini!!!!
 
Lexus is another fancy name for toyota
 
Unakuanga na kiherehere sana boss
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]... jibu zuri asipokuelewa basi juwa huyo ni kilaza kama walivyo wakenya wengine wa jf.
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]... jibu zuri asipokuelewa basi juwa huyo ni kilaza kama walivyo wakenya wengine wa jf.
harudi huyo........ila kadhihirisha kuwa hakuna anachojua na hana idea ya mziki hata kidogo....

type ya watu kama hao duniani huwa ni wasindikizaji
 
utafanya waache ku discuss issues waanze ku attack race yako.

mda si mrefu wataanza ku catch mafeelings. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
nipo kwa ajili yao broπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ silaha zote ninazo
 
simu yenyewe anatumia itel πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
nakumbuka wakati fulani kolomwizi alitaka ligi na wewe ya kumiliki latest iPhone na kumiliki gari.

matokeo yake akaishia kuaibika na kuanza ku-catch mafeelings.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…