Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nilichogundua wakenya wanaushamba wa kuishi magorofani(flats) kitu ambacho watz hatupendi so kwetu ni bora kujenga nyumba yako hata kama kiwanja chako hakijawa surveyed. We like privacy and enough space for ourselves.
Hizi hapa chini hazina wakazi au zinao wachache
Screenshot_2018-05-27-12-49-58.png
Screenshot_2018-05-27-12-51-23.png
Screenshot_2018-05-27-12-47-08.png
Screenshot_2018-05-27-12-46-41.png
Screenshot_2018-05-27-12-47-47.png
Screenshot_2018-05-27-12-47-47.png
, people are not interested in buying or renting
Camera yangu sio nzuri otherwise balaa
 
It's ok for owners but bad for me as a tenant. Ndio maana sisi hujenga zetu ili kukimbia hizo kodi za kupanga. Wangap kenya wanauwezo wa kujenga flats Nairobi???
There are many financing models and institutions to cater for that, at the end of the day even if not all can afford many have invested in them, nowonder you pointed it out, estates like roysambu,githurai, utawala,pipeline,donholm and many others most of the apartments are owned by single kenyans
 
Hizi hapa chini hazina wakazi au zinao wachacheView attachment 787500 View attachment 787501 View attachment 787502 View attachment 787503 View attachment 787506 View attachment 787505 , people are not interested in buying or renting
Camera yangu sio nzuri otherwise balaa
Unajua wakenya hawajui kwanini mfumo Wa makazi ya kupangisha huku haumati sana,kisha wanajiundia majibu yao ya jumla jumla.watu wanakimbia mpaka nyumba za serikali.

Ndio maana hata mradi wa bakhresa kule Zanzibar umelenga wageni na watalii.
 
Nyinyi endeleeni kujenga swahili shacks zenye bati zilizorust ndani ya jiji lenu kisha mjione wenye maendeleo.
 
Nilichogundua wakenya wanaushamba wa kuishi magorofani(flats) kitu ambacho watz hatupendi so kwetu ni bora kujenga nyumba yako hata kama kiwanja chako hakijawa surveyed. We like privacy and enough space for ourselves.
We don't have time for that kind of life Nairobi ni Chap chap People Work Hard and fast Hakuna time ya Kusettle... People settle Maybe in satellite areas wakisha retire and I don't Think mtu wa kawaida anaweza afford Land Nairobi... Land Huku Ina value Mingi saaana
 
tanzania ikipeleka maji vijijini wakati mjii mkuu wa kenya hakuna maji alaf wanataka shindana na dar

Unajua wakenya hawajui kwanini mfumo Wa makazi ya kupangisha huku haumati sana,kisha wanajiundia majibu yao ya jumla jumla.watu wanakimbia mpaka nyumba za serikali.

Ndio maana hata mradi wa bakhresa kule Zanzibar umelenga wageni na watalii.
Hawana uwezo wa kununua plot then ajenge. Njia ni hio wenye maeneo wanajenga na kuwauzia. Ni utaratibu upo kwenye ubepari uliokithiri, nchi nzima kila eneo la ardhi linamilikiwa na mtu au taasisi.
 
I have nice photos of bogani estate.......................I have been not been able to log into my jamii forum app
 
Back
Top Bottom