Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Showing a few decent places along the coastline won't change the dirty image of Dar. Tunajua beach properties are for the rich world over. This is how 90% of Dar looks and Google images show the same thing. View attachment 787054
leta ushahidi kua hapo ni dar πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
tatizo lako unaokota picha google huna ushahidi unasema dar kuna wenzako waliokota mpaka slums za siera lione na nigeria wakasema darπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
collo mzii aliokota picha za congo tena kambi za wakimbizi akasema dar nilicheka sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
leta ushahidi kua hapo ni dar πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
tatizo lako unaokota picha google huna ushahidi unasema dar kuna wenzako waliokota mpaka slums za siera lione na nigeria wakasema darπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
I was very much expecting this, especially from you. Mkataa kwao sijui tutamuita aje!!
 
I was very much expecting this, especially from you. Mkataa kwao sijui tutamuita aje!!
leta ushahidi sisi ndio tunaijua dar mbona ulipoeka pic ya jangwani nilikwambia hapo jangwani na nyumba zote zimebomolewa na ushahidi nikakupa. we vp ndugu
huwez ukaokota picha google useme dar huna ushahidi
 
hahaha
 
Naona hata hii hapa pia ni picha ya Sierra Leone. Freetown, Sierra Leone must be a very dirty and disorganized town. Dar in its nakedness
 
Naona hata hii hapa pia ni picha ya Sierra Leone. Dar its nakednessView attachment 787064
so angalia hzo nyumba angalia access of road zinafanana na kibera yani wall ya nyumba ni batiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

where is access of road there au unaona wazungu wajinga sana kuita slumπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
yani wall ni mabati hehehe tanzania nzima hakuna nyumba ukuta ni mabati
 
Hua hamchomi kushinda mkirudia hii picha ya kibera kuiponda kenya?
 
Heheehe...Look at your you now. Hiyo hakuna vile ungekana coz of that brt line otherwise ungekataa katakata hapo sio Dar kama hiyo brt haingekuwa hapo. Jiji lenu linapendeza sana
 
It had to be somewhere along the coastline. That was my point, nugu wewe
Usibashane na hawa watu, tangu nijue dar kuna 5* tatu pekee zingine ni guest house hua sibishani na wao, wanakuanga wazuri sana kwa kusifia dar na mdomo na picha za kurudia rudia za posta kila wakati hakuna lingine.
 
namfundisha mwenzio ajue vigezo vya slum labda anafhani wazungu huita tu slumπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Huu uzi unafaa mfunge kama hamna vitu vya Maana vya kupost kama kila saa ni chafua uxi na picha za slums.
 
Heheehe...Look at your you now. Hiyo hakuna vile ungekana coz of that brt line otherwise ungekataa katakata hapo sio Dar kama hiyo brt haingekuwa hapo. Jiji lenu linapendeza sana
sehemu hakuna access of road, no water nyumba anazotakiwa kuishi nguruwe anaishi binaadamu alafu unataka kusema muna nafuu au mzungu kawaonea kuita slum???πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Huu uzi unafaa mfunge kama hamna vitu vya Maana vya kupost kama kila saa ni chafua uxi na picha za slums.
acha hasira budaa huu uzi hautafungwa mpaka kieleweke 2020πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…