moxec
Senior Member
- Sep 22, 2016
- 191
- 206
Nyinyi wakenya tumeshawazoea kila kitu kizuri kinachopatikana au kinacho tokea tanzania basi lazima mjikombekombe na nyinyi muonekane mlikuwepo.Do you know pspf towers were designed by a Kenyan Architect.
1 Diamond platnumz kenyan artist.
2 Mount kilimanjaro located in kenya.
3 Tanzanite inachimbwa kenya.
4 Bomba la mafuta kutoka hoima uganda mpaka tanga Tanzania, waziri wenu wa viwanda alitaka kuleta unafki bomba lipitie kenya na ikiwezekana bandari ya mombasa ndio itumike museveni akawapiga chini.
5 Sasa mmelikosa shavu la gesi maana mtwara na kenya ni mbali sana, ila kama mtwara ingekua inapakana na kenya basi gesi pia mngesema ya kwenu.
6 Kwa hiyo kumbe hata architect wa aliye design (TPA TOWER) jengo refu africa mashariki na kati ni mkenya asante kwa kutufahamisha sisi wabongo tulikua hatujui.