Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I am a prophet.

PROOF

In the next three photos of Dar, at least one will contain PSPF Towers and TPA Tower.

IMG_1527198953.502083.jpg
IMG_1527198972.977364.jpg
IMG_1527198989.368552.jpg
IMG_1527199003.044202.jpg
IMG_1527199014.233110.jpg
IMG_1527199030.071461.jpg
 
Hata mkiweka hizo zote bado Nairobi hamjafika nusu yake.
macho yataona na mdomo mtaongea......

ila muwe wakweli msiwe na akili zakizamani pia zenye utoto kwa humu ndipo mnapoishi nakujitamba na estate zenu wakati sehemu nyingi ni chakavu na hoi......sijawahi ona makazi na majengo hafifu tokea nizaliwe kama hayo yenu ya likoni na githarai mitaa ni michafu sana

kweli east africa tunakazi

DSC02463.jpg
unnamed.jpg
images%20(3).jpeg
images%20(2).jpeg
FetchImage%20(1).jpeg
FetchImage.jpeg
images%20(1).jpeg
images.jpeg
 
hazipo kwenye mvuto .......yaani zinamuonekano mbaya

mfano tizama hizo estate zenu ambazo zipo kwenye ule mrejesho wako wa aerial view ...ni mbaya ila kilichozibeba ni mpangilio tu,,
View attachment 785402View attachment 785403
Lusematic, sidhamirii kukukosea heshima ila kusema hiyo nyumba haina mvuto wakati tunajua aina za nyumba zinazopatika Dar ni kuwa blinded na uzalendo. 90% ya estates za Nairobi ni apartments ndo maana licha ya Nairobi kuwa ni eneo ndogo sana, iko na idafu ya watu almost the same na Dar licha ya ukubwa wa Dar kieneo. Nyingi za nyumba za Dar ni gable za pande nne na mabati zilizorust. Nashangaa kati ya nyumba kama hiyo na ile uliyoleta hapo juu ya Nairobi gani haina mvuto.
 
Ebu fananisha na hizi.
8387-jpg.785329
hata kama ingekuwa dar uswazi ya dar watu wanaishi maisha mazuri na easy kuliko mliopo kwenye hizo malighafi chakavu sio siri mnatia haibu....chini ya aerial view ni matope tu wakenya mna vituko au unadhani sijawahi fika nairobi nini nakutembelea baadhi ya sehemu.....

ifike kipindi tukubali tu hapo hakuna kitu
 
Wewe unaishi Dar, hujafika Nairobi. Nyumba za Nairobi ni bora kuliko za Dar na uchumi wa Nairobi ni zaidi ya mara tatu wa Dar lakini unasema maisha ya Dar ni bora. Uboya umekujaa.
 
Most of Dar es Salaam iko hivi. Mbona mnakataa mambo ambayo yako wazi?
dar inamaeneo chokozi lakini si kila eneo.....kwa dar ..hakuna eneo kubwa kama hilo lililovurugika ila maeneo yapo ipo siku humu tutaanzisha hoja natutawawekea maeneo yote ya dar na nyie muweke maeneo yenu hatarishi kisha tuchanganue wapi kwenye nafuu.....maana hamuijui dar

vuta pumzi bob.....
 
tuache ushabiki hebu tuweke unafki pembeni nilichokuwa namaanisha ni hiki hapo ni githurai nairobi na moja ya picha ni likoni......

na hiki kitu ndicho kinachofanya dar iwapige bao
kweli hizi ndiyo nyumba bora unazosema zilizopo naitobi... tuache utani EAST AFRICA tunasafari ndefu........kwa ndipo tunapojitambia humo kwa aerial view
View attachment 785406View attachment 785407View attachment 785408View attachment 785409View attachment 785410View attachment 785411View attachment 785412View attachment 785413
Ni vizuri sana umeanza statement yako na neno tuwache ushabik. I hope you mean it. Sasa niko na swali moja, kati ya hizo nyumba za githurai ambazo nyingi ziko self-contained na zile nyumba za Dar za uswahilini zenye muonekano wa gebo na bati zilirokulwa na rust, gani haina mvuto. Ama kwa upande wako hupendi tu nyumba za apartment? Japo ni ngumu kukubali, lakini ukweli ni kwamba Nairobi imeendelea kuliko Dar kwa swala la estates na mpangilio wa estates
 
dar inamaeneo chokozi lakini si kila eneo.....kwa dar ..hakuna eneo kubwa kama hilo lililovurugika ila maeneo yapo ipo siku humu tutaanzisha hoja natutawawekea maeneo yote ya dar na nyie muweke maeneo yenu hatarishi kisha tuchanganue wapi kwenye nafuu.....maana hamuijui dar

vuta pumzi bob.....
90% ya Dar inakaa hivi, amini usiamini. Mimi ndiye nakueleza.
39751258-Aerial-view-of-the-city-of-Dar-Es-Salaam-showing-the-densely-packed-houses-and-buildings-Stock-Photo.jpg
525195
Dar-es-Salaam-masterplanning-London_52b835da431f68f893f7352496a92391.jpg
 
Lusematic, sidhamirii kukukosea heshima ila kusema hiyo nyumba haina mvuto wakati tunajua aina za nyumba zinazopatika Dar ni kuwa blinded na uzalendo. 90% ya estates za Nairobi ni apartments ndo maana licha ya Nairobi kuwa ni eneo ndogo sana, iko na idafu ya watu almost the same na Dar licha ya ukubwa wa Dar kieneo. Nyingi za nyumba za Dar ni gable za pande nne na mabati zilizorust. Nashangaa kati ya nyumba kama hiyo na ile uliyoleta hapo juu ya Nairobi gani haina mvuto.
ndiyo maana nasema hivi dar kwa maeneo ya uswahilini nyumba zimejimix zikiwemo hizo za pembe nne na zatofauti na hizo nyumba ambazo unazisema ni nyumba ambazo hata nairobi zipo tukiitoa kibera na hizo estate kuna maeneo hizo nyumba unazozisema zipo napia tuwe wakweli mda mwingine mbali ya slums na hizo estate pia nairobi inayo maeneo ambayo nyumba zake hunana na nyumba za uswazi za dar,,,,usilikatae hilo
 
dar inamaeneo chokozi lakini si kila eneo.....kwa dar ..hakuna eneo kubwa kama hilo lililovurugika ila maeneo yapo ipo siku humu tutaanzisha hoja natutawawekea maeneo yote ya dar na nyie muweke maeneo yenu hatarishi kisha tuchanganue wapi kwenye nafuu.....maana hamuijui dar

vuta pumzi bob.....
Sasa eneo inakuwa hatarishi na chakavu kwa sababu iko na apartments kila mahali au unajaribu kumaanisha nini? Apartments ni desturi ya Nairobi so kama unaziogopa endelea kuishi kwa hizo swahili shacks with rusty iron sheets. Nasikia mnaziita dream houses huko Dar
 
Wewe unaishi Dar, hujafika Nairobi. Nyumba za Nairobi ni bora kuliko za Dar na uchumi wa Nairobi ni zaidi ya mara tatu wa Dar lakini unasema maisha ya Dar ni bora. Uboya umekujaa.
sawa sikila kitu chakujishow hapa,,,,,tufanye sijafika

ila ukweli naujua mimi na evidence zilizopo zipo kwa my memory.....

ibaki hivyo
 
90% ya Dar inakaa hivi, amini usiamini. Mimi ndiye nakueleza.
39751258-Aerial-view-of-the-city-of-Dar-Es-Salaam-showing-the-densely-packed-houses-and-buildings-Stock-Photo.jpg
525195
Dar-es-Salaam-masterplanning-London_52b835da431f68f893f7352496a92391.jpg
It's not an issue ya yeye kuamini. Mbona aamini wakati anajua ukweli kabisa kwamba huo ndo uhalisi wa mambo? Nilimshangaa sana niliposikia akisema nyumba za Nairobi ni chakavu na hazina mvuto. Nashangaa hizi nyumba za dar kwenye hizi picha ziko na mvuto gani? it's called being blinded by patriotism
 
Hehehe.............huyu jamaa ni wa kuhurumia
 
ndiyo maana nasema hivi dar kwa maeneo ya uswahilini nyumba zimejimix zikiwemo hizo za pembe nne na zatofauti na hizo nyumba ambazo unazisema ni nyumba ambazo hata nairobi zipo tukiitoa kibera na hizo estate kuna maeneo hizo nyumba unazozisema zipo napia tuwe wakweli mda mwingine mbali ya slums na hizo estate pia nairobi inayo maeneo ambayo nyumba zake hunana na nyumba za uswazi za dar,,,,usilikatae hilo
Huwezi pata nyumba kama hizo Nairobi nje ya mitaa duni (slums). Hiyo nakuhakikishi bila uoga au mapendeleo
 
90% ya Dar inakaa hivi, amini usiamini. Mimi ndiye nakueleza.
39751258-Aerial-view-of-the-city-of-Dar-Es-Salaam-showing-the-densely-packed-houses-and-buildings-Stock-Photo.jpg
525195
Dar-es-Salaam-masterplanning-London_52b835da431f68f893f7352496a92391.jpg
hiko kipande cha chini sasa hapo ni. dar hapo umepatia......hilo eneo linaitwa manzese ni sehemu ambayo wanaishi watu wakipato cha chini.....na ukishuka hapo ukitembezwa chini hautoamini unachokiona.....maana kuna mitaa kama kawaida...
 
Sasa eneo inakuwa hatarishi na chakavu kwa sababu iko na apartments kila mahali au unajaribu kumaanisha nini? Apartments ni desturi ya Nairobi so kama unaziogopa endelea kuishi kwa hizo swahili shacks with rusty iron sheets. Nasikia mnaziita dream houses huko Dar
nimetumia lugha fasaha sana,,,,,kesho panapo pumzi......inabidi nichape usingizi now
 
Back
Top Bottom