sema kitu kingine estate zenu nyingi zenye ukubwa zipo local sana kuanzia muonekano wa nnje mpaka ndani......muwe mnatoa ushauri kwa wahusika.....Tukubaluane tu kwamba when it comes to estates and estate planning, Dar bado iko na mengi sana kujifunza kutika Nairobi. Tuweke ushabiki na uzalendo kando. A city is not just about wide roads and glittering tall buildingsView attachment 785386 View attachment 785387 View attachment 785388 View attachment 785389
Hahaha...you forgot brtI am a prophet.
PROOF
In the next three photos of Dar, at least one will contain PSPF Towers and TPA Tower.
Sasa kwa next tano kutakua na atleast moja ya BRT na moja ya PSPF na TPA. Mimi nabii nimetabiri.😀😀😀Hahaha...you forgot brt
hongera nabii...... . soon siku za usoni utapata pia new brtSasa kwa next tano kutakua na atleast moja ya BRT na moja ya PSPF na TPA. Mimi nabii nimetabiri.😀😀😀
hongera nabii...... . soon siku za usoni utapata pia new brt
Lusematic, Dar kuna eststes zimepangwa vizuri tena sana ila ni chache. Japo mimi si mkazi wa Dar, lakini zile estates kidogo ziko na mpangilio ni zile za matajiri haswa zile ziko kando ya bahari. Naweza sema hizo ni Oysterbay? Mikocheni, Upanga, and such like estates. Hapo ndo Dar na Nairobi zinatofautiana. Mfano, kwa hizo picha zote nilizoleta, mbili au tatu ndio mitaa za upper middle class na pengine moja ndio ya matajiri lakini utaona ile level ya mpangilio ziko nazo jambo ambalo haliko Dar. Donholm, kwa mfano, ni mtaa wa kawaida sana Nairobi ila iko na nyumba nzuri tena planning pia iko. Yote tisa, tieni bidii mupange mitaa zenu kwa sababu itapatia dar mvuto fulani ambayo kusema kweli kwa sasa haipohakuna aliyekataa,,,,ila sikwamba huku nyumba bora zilizokaa kwenye mpangilio hakuna zipo tena nyingi na zimekava nafasi kubwa sana tukiachana na nyumba za uswahilini.....
halafu kingine unapozungumzia estate zungumzia idadi ya nyumba zilizopo mfano estate inaweza ikawa na nyumba alfu moja ama alfu mbili......hapo ndipo mlipotuzidi......hivyo mlichotuzidi ni ukubwa tu wa estate......basi ila dar zipo na kwasasa hivi ndiyo zinajengwa kwa wingi sana soon u will see again changes of dar kwa ukubwa wa estate zaidi tuzidi peana mda jengeni nairobi na sisi tuijenge dar......mwisho wa siku itajulikana tu ipi mbichi ipi mbivu.....
nanyi inabidi mpambane sana .......ila tuwe wawazi tu hizo estate zenu zipo local sana zimekaa kichakavu........kuna vitu yapaswa kuprepare hayo majengo kiukweli hayana image nzuri........
Unaposema ziko local nje hadi ndani unamaanisha nini?sema kitu kingine estate zenu nyingi zenye ukubwa zipo local sana kuanzia muonekano wa nnje mpaka ndani......muwe mnatoa ushauri kwa wahusika.....
nanyi inabidi mpambane sana .......ila tuwe wawazi tu hizo estate zenu zipo local sana zimekaa kichakavu........kuna vitu yapaswa kuprepare hayo majengo kiukweli hayana image nzuri........
Outering road na hiyo hapo kando ni part ya Umoja 1 estate
tupeane mda wapendwa wakinairobae
Hahaha...be slow on him. I think he was just trying to be satirical ir even humorousNa haya je?
![]()
Hata mkiweka hizo zote bado Nairobi hamjafika nusu yake.tupeane mda wapendwa wakinairobae![]()
1.TAZARA FLY OVER
2.UBUNGO INTERCHANGE & HIGHWAY
3.UBUNGO TO CHALINZE 6LANE
4.NEW BRT around the city town to mbagala,Moroco to tegeta and Gongolamboto
5.SURENDA BRIDGE.....haPa ni mwendo wakucheza juy ya bahari
SOON
hazipo kwenye mvuto .......yaani zinamuonekano mbayaUnaposema ziko local nje hadi ndani unamaanisha nini?
dar haina sehemu kubwa ya uswahilini iliyochukua ukubwa wa eneo kama hilo.....uwe muelewa kungekuwa kwenyewe ungeshakubaliwa tena wakwanza ningekuwa mimiNa haya je?
![]()
Ebu fananisha na hizi.hazipo kwenye mvuto .......yaani zinamuonekano mbaya
mfano tizama hizo estate zenu ambazo zipo kwenye ule mrejesho wako wa aerial view ...ni mbaya ila kilichozibeba ni mpangilio tu,,
![]()
![]()
![]()
![]()
View attachment 785402View attachment 785403
Most of Dar es Salaam iko hivi. Mbona mnakataa mambo ambayo yako wazi?dar haina sehemu kubwa ya uswahilini iliyochukua ukubwa wa eneo kama hilo.....uwe muelewa kungekuwa kwenyewe ungeshakubaliwa tena wakwanza ningekuwa mimi
tuache ushabiki hebu tuweke unafki pembeni nilichokuwa namaanisha ni hiki hapo ni githurai nairobi na moja ya picha ni likoni......Unaposema ziko local nje hadi ndani unamaanisha nini?
tuache utani EAST AFRICA tunasafari ndefu........kwa ndipo tunapojitambia humo kwa aerial view