Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Your stupidity has drawn my attention.. Aty Asha?? Huyo hajulikani labda KIJIJINI kwenyu... BTW KENYA IS THE FIRST COUNTRY IN AFRICA TO HAVE THE FIRST WOMAN TO WIN THE NOBLE PRIZE... [HASHTAG]#WANGARE[/HASHTAG] MATHAE... Hio ni kitu TZ hajawahi na haitawahi Tokea TZ... Not to mention Obama the 1st black President of USA na bado Lupita na WENGINE.. In international matters please Tanzanian Msijisumbue[emoji23] [emoji23]
 
umeongea maneno mengi sahihi, lakini hujaonyesha uhusiano kati ya cape town kukaliwa na kuendelezwa na mzungu, na ukubwa wake (sqkm)! Where's the catch?!
 
umeongea maneno mengi sahihi, lakini hujaonyesha uhusiano kati ya cape town kukaliwa na kuendelezwa na mzungu, na ukubwa wake (sqkm)! Where's the catch?!
hakuna mtu asiejua kua captown ni jimbo lilikoshikwa na wazungu kwa miaka mingi sana na mpaka leo tunavozunguzma yapo maeneo capetown yameshikwa na wazungu na mtu mweusi hatakiwi kuonekana maeneo hayo kwa lugha nyepesi tunaeza kusema ni sehemu ya wazungu wengi na wameijenga wao na wameishkilia wao na wameiendeleza siku nyingi sana wao kama wao, leo tunaona south africa imejengeka ni kwasababu ilishajengwa na wazungu miaka mingi sana hata kabla nchi za africa kupata uhuru, sioni ni kitu gani hujaelewa hapo
 
umeongea maneno mengi sahihi, lakini hujaonyesha uhusiano kati ya cape town kukaliwa na kuendelezwa na mzungu, na ukubwa wake (sqkm)! Where's the catch?!
Yani hapo umerudia yale ulosema mwanzo......
Kutokana na mtazamo wako wa hapo awali.... kwamba ukubwa wa mji ndo determinant ya maendeleo, labda kama umebadili mtazamo saivi lakini bado HUJAONYESHA UHUSIANO KATI YA CAPETOWN KUWA VYOOTE HIVYO ULIVYOSEMA (kimaendeleo) NA UKUBWA WAKE (sqkm). Povu ruksaπŸ˜€
 
labda nikuelemishe nairobi and dar are developing cities and cape town is developed town wewe kipi hapo hujaelewa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

na capetown haikuanza maendeleo leo wala jana usifkiri ni kama dar au nairobi hehehhe
capetown imeanza developments hata kabla kenya na tanzania kupata uhuru wewe unaongea nn???πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›

na nilishamwambia mwenzio dar es salaam is a fastest developing city in africa utake usitake upende usipende
 
Achana na huyo jamaa atakuambukiza tu ujinga bure. In his stupid mind, he thinks a bigger town or city boundary equals development. That's epitome of ignorance. I can give him a million cities just here in Africa much smaller than that glorified village called Dar but a hundred times better. Take the case of Windhoek, Namibia which is around 690 kmsq but is way better than this thing called Dar. sometimes I tend to think that Windheok is even better than Nairobi. Not far from windhoek is Luanda, a city which is only 113 km squared but much more developed and advanced than Dar. Huyo ujamaa na uzalendo za kijinga zimempumbaza
 
way better of what?? slums au???πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ wewe huwezi kunieleza habari ya capetown ule mji umeendelezwa na wazungu kabla ya tanzania na kenya kupata uhuru alaf unataka kufananisha in terms of developments
na inaonesha history ya miji wewe huijui maana ulipoongelea habari ya newyork ukajiona umeongea bonge la point kumbe mswaki ukabadilisha capetown kumbe hata history ya cities wewe huzijuiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ unabishana ilimradi tu uonkane upo
 
Labda kama hujui au umekariri,miji mingi duniani yenye eneo Dogo haikujengwa miaka ya karibuni.imeendelea muda mrefu nyuma.

Kwa miji ambayo inakuwa kwa sasa lazima iwe na eneo kubwa.hii inafaida nyingi sana kiuchumi.
 
ndio nachomueleza hapa hajui kabisa history ya miji πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ yani mawazo yake yako mbali sana na anachokiongea yani nimemuona boya kweliπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Before 2 days and its at half a million views already
 
Labda kama hujui au umekariri,miji mingi duniani yenye eneo Dogo haikujengwa miaka ya karibuni.imeendelea muda mrefu nyuma.

Kwa miji ambayo inakuwa kwa sasa lazima iwe na eneo kubwa.hii inafaida nyingi sana kiuchumi.
Hata Kigali ni mji changa tena ngogo sana lakini unalendeza tena imeendelea kushinda hiki kjiji chenu mnalazimisha maendeleo yake kutumia kigezo cha ukubwa wa eneo
 
Si unaona ulivyo mjinga? kwa hiyo comment ulioquote huoni hizo miji nimetaja? Mara ni kijiji sana however much you try to make it look great by quoting its size. Size doesn't matter, development does
 
Hata Kigali ni mji changa tena ngogo sana lakini unalendeza tena imeendelea kushinda hiki kjiji chenu mnalazimisha maendeleo yake kutumia kigezo cha ukubwa wa eneo
haya msikieni sasa huyu ndio akili yake ilipoishiaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ yani nakuskitikia sana ndugu yangu
 
Si unaona ulivyo mjinga? kwa hiyo comment ulioquote huoni hizo miji nimetaja? Mara ni kijiji sana however much you try to make it look great by quoting its size. Size doesn't matter, development does
hehehe yani wewe kinachokuumiza ni kwann dar imepiga haraka maendeleo kwa muda mfupi na hamkutarajia kua hvo hicho ndio kinachokusumbua kichwa chako πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ yani kwa developments speed sahau kabisa dar
 
Unaonyesha ni jinsi gani uko desperate na dar.

Kigali ni mji msafi mbele ya dar,na si kingine.
Hata Kigali ni mji changa tena ngogo sana lakini unalendeza tena imeendelea kushinda hiki kjiji chenu mnalazimisha maendeleo yake kutumia kigezo cha ukubwa wa eneo
 
Huyu anajaribu kubishana na kitu asichoweza.

Ni afadhari wakenya wenzie,huyu hawezi kabisa kuficha hisia zake.
hehehe yani wewe kinachokuumiza ni kwann dar imepiga haraka maendeleo kwa muda mfupi na hamkutarajia kua hvo hicho ndio kinachokusumbua kichwa chako πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ yani kwa developments speed sahau kabisa dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…