Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Chumbuko la Dar is slum kuwa na faster rate of slum development ni trying a catch up game with the MIGHTY NAIROBI METROPOLIS, even if we were to give Dar is slum 1000 years, it will still trail Hohoho
 
Mukhisa Kituyi
Current Secretary General
UNCTAD
I already gave him that hadi nikmwongeza Lady Justice Joyce Aluoch wa ICC na Susan Mboya wa Coca cola. Uzalendo umewampuza wanaona huyo wao ndio ameweza kuliko wote.
 
kuwa serious kwa hiyo hiko kiwanja kipo ranked na FIFA kuchezesha international game?[emoji2] [emoji2]
Kati ya hii na hiyo yenu unaona gani inaweza kubaliwa kuhost international matches za fifa? Gor Mahia just played Supersport from South Africa papo hapo in a continental match last month. Isn't that an international match recognized by FIFA? Mlikuwa mnataka kujua kama kuna uwanka outside Nairobi tukaleta mbili sasa mnaanza kutapatapa
 
nimewauliza swali dogo tu hawa wakenya kuwa hiko kiwanja kipo kwenye ranked za fifa kuchezesha international mechi...?
wanatuonesha uwanja wakufungia mbuzi ndio wanaleta hapaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ nimecheka sana
 
Vipi wewe!? Kwani huoni hizo dream houses?
tuletee link kua hapo ni dar mbona kazi rahisi tu hehehhe wenzako walileta mpaka slums za siera lione wakasema dar hehehehπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
wewe haujielewi..........kwa hiyo hiyo ground yenu yakufugia mbuzi ipo kwa fifa ranked international match?
 
wanatuonesha uwanja wakufungia mbuzi ndio wanaleta hapaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ nimecheka sana
eti mwingine anajikanyaga vile vituko kama vipo fifa ranked for internatinal match[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…