Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

continue to keep tabs on anything that matters Kenya.
It's called inferiority complex...ukiona mtu analeta hadi habari za accident, hapo ndo utajua vile akili imejaa ujamaa mentality. Huko Dar na Tanzania kwa jumla ni kama accidents don't exist
 
kama kawaida kwa wakenya vitu hivyo ni nadra
Nynyi inferiority complex itawaua....Haya mambo sisi tumeyazoea na wala hutosikia tukizitajataja hapa. soma link kisha unyamaze. Apart from Mukhisa Kituyi, Lady Justice Joyce Aluoch, another Kenyan, is a judge at the international Criminal Court (ICC). Susan Mboya, also Kenyan, is the President of Coca-Cola Africa foundation. Nyinyi kweli ni vilaza

unctad.org/en/Pages/About%20UNCTAD/OSG/Secretary-General.aspx
 
hzo international office in nairobi hazijapunguza unemployment hata kwa asilimia 2%πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
\

Hakuna Mtaa Tz unafikia Muthaiga, Runda, Karen, Kitusuru, Spring Valley na Lower Kabete. Hizo O'bay na Masaki labda zionane na Westlands ama Kileleshwa ama Kilimani.
 
\

Hakuna Mtaa Tz unafikia Muthaiga, Runda, Karen, Kitusuru, Spring Valley na Lower Kabete. Hizo O'bay na Masaki labda zionane na Westlands ama Kileleshwa ama Kilimani.
zilete hapa twende sawasawaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ maneno mengi kama muuza duka
 
\

Hakuna Mtaa Tz unafikia Muthaiga, Runda, Karen, Kitusuru, Spring Valley na Lower Kabete. Hizo O'bay na Masaki labda zionane na Westlands ama Kileleshwa ama Kilimani.
of course najua hakuna mitaa kule Dar yakufikia hadhi ya Muthaiga, Spring Valley, Karen na hizo zingine ulizotaja. Oysterbay hata kwa kileleshwa bado sana..pengine Hurligham zinaweza endana sawa. Mji mzima iko na mitaa zilizochapa mbele, nyuma, kulia, kushoto. They will bring you hizo mitaa za matajiri wa Dar along the beach with a screaming caption of mara ooh Hawaii, mara oooh Dubai!, sijui Paris! Wanatia hurumu kweli hawa jamaa. Ndio maana siku zote mimi husema they are suffering from inferiority complex
 
Aerial view mnazo ila zinaonyesha jinsi mji ni mbovu ndio maana hamtaki kupost.

Hiyo wishakataa kitambo sana sio picha ya Dar. The funny thing is that they'll spam this thread with kibera photos while they have one mega slum in the name of a city!!
 
Hiyo wishakataa kitambo sana sio picha ya Dar. The funny thing is that they'll spam this thread with kibera photos while they have one mega slum in the name of a city!!
haitakua dar mpaka kufa nakwambia aniletee link kua hapo ni dar kama sikuzaa nae liveπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hiyo wishakataa kitambo sana sio picha ya Dar. The funny thing is that they'll spam this thread with kibera photos while they have one mega slum in the name of a city!!
Wanadhani Dar ni CBD, Kariakoo, Masaki, O'bay, Upanga, Kijitonyama na Mikocheni pekee.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…