nani aliyekubali........?.....level nyingine kwa hii hali
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Wenzake akina nani ?? Huyu jamaa kapatwa na mwezi mchanganani alishakubali mtaje mmoja tu??😀😀😀
unalazmisha ushindi heheh bogus kweli ww
mm nakuuliza swali dogo sana avic inamajengo mangap??? na unijibu kisomi lasivo nakuvua nguo hapa hapaKati ya posta na westlands ipi ndio baba yao kwenye sector ya majengo marefu?
Unatueletea renders na under construction. Tukianza pata chafuka humu ndani😀😀Westlands=avic 45,35,30,30,30,30, palazo 24, delta 21,21 li,mac 26, dunhill 18, nova 19, bandari plaza 19, mirage 17,17,17,sanlam 19 all over 17 floors
heheh kanitajia avic majengo yote 30 alf kataja kama nane hvi hehehhe huyu sina hakika kama taa ya oil haiwakiUnatueletea renders na under construction. Tukianza pata chafuka humu ndani😀😀
tupo vizuri sana
Jamaa anatuona sisi mafala sana😀😀 Wakikuyu aliye walahani alisha kufa zamani😀😀mm nakuuliza swali dogo sana avic inamajengo mangap??? na unijibu kisomi lasivo nakuvua nguo hapa hapa
magu chuma nasema😀😀😀
hawa wako under european standardsNaona high tech machines ndo zinapiga kazi ya mitaro.😀😀
And that is just westalnds...hapo hatujagusa Upper hill ama cbdWestlands=avic 45,35,30,30,30,30, palazo 24, delta 21,21 li,mac 26, dunhill 18, nova 19, bandari plaza 19, mirage 17,17,17,sanlam 19 all over 17 floors
heheh majibu yamekushinda ushaona wapi pakuvuliwa nguo sasa ume change directions😀😀😀Westlands inajengo refu kuzidi yote hapo tanzania mpende msipende huo ndio ukweri
You guys are not serious
hehe tena hio ni pilot study 😀😀😀You guys are not serious
500m for BRT or BRT ONLY ??
Simchezo. Magu ni jiwe kweli kwelihawa wako under european standards