Hvi wewe kwa mtu mwenye akili unaeza kukaa bado kuongea ujinga hio ni kitu bado unataka ushindani.....inajionesha kabisa ni mnara juu wa jengo punguza ujuaji sanaandika...unajua sijawai pinga kama kitu ni kweli.leta tuone tu apa
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 inakuja huku munanjaa bado hahahahhahahaahahaa...vijembe sio.hiyo inakuja,cz tram ishaanza
okay nmeelewa shida yako ni gani...ivi unajua ni minara gani yenye inahesabiwa kwa urefu wa jengo?tuanzie apo..ebu kaeke mnara kwa tpa uone kama utahesabiwaHvi wewe kwa mtu mwenye akili unaeza kukaa bado kuongea ujinga hio ni kitu bado unataka ushindani.....inajionesha kabisa ni mnara juu wa jengo punguza ujuaji sana
View attachment 491359
sasa mambo ya njaa yametokea wapi hapa....😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 inakuja huku munanjaa bado hahahahhahahaa
Very good so britam tower ni 140 meters sawa 😀😀😀😀😀okay nmeelewa shida yako ni gani...ivi unajua ni minara gani yenye inahesabiwa kwa urefu wa jengo?tuanzie apo..ebu kaeke mnara kwa tpa uone kama utahesabiwa
nop...britam ni 200 kwa sababu ile ni architectural spire mkuu..uap ndio haijahesbiwa mnaraVery good so britam tower ni 140 meters sawa 😀😀😀😀😀
Hahahhha listen we unafaa utumie akili hapo uap hio mnara juu iko included ndani ya 163 m it means urefu umeongezwa na kofia ambayo ikitolewa na height inapungua so mm nataka kujua huo mnara wa uap in height ngapi ili nijue actual height ya uap.......hahhahahhahanop...britam ni 200 kwa sababu ile ni architectural spire mkuu..uap ndio haijahesbiwa mnara
daah,,,,yani hutaki kukubali kabisaHahahhha listen we unafaa utumie akili hapo uap hio mnara juu iko included ndani ya 163 m it means urefu umeongezwa na kofia ambayo ikitolewa na height inapungua so mm nataka kujua huo mnara wa uap in height ngapi ili nijue actual height ya uap.......hahhahahhaha
Haiwezekani hata siku moja ueke mnara usihesabu basi na britam isihesabiwe sasa hahahahahaha bro usiwe kama mtoto wa nurserydaah,,,,yani hutaki kukubali kabisa
haya bana...ngoja tukamilishe hass,avic,montave na hazina..mtakua na number five in east africa bila iyo minaraHaiwezekani hata siku moja ueke mnara usihesabu basi na britam isihesabiwe sasa hahahahahaha bro usiwe kama mtoto wa nursery
Mkimalisha na huku tunakamisha alot of on going projects tena nyingiko zimefika more than 50% so bongo kila siku panajengwa nilikwambia mfano ilala mpaka 2020 yote itakua magorofa kwasababu speed sio mchezo so Google uone ukubwa wa ilalahaya bana...ngoja tukamilishe hass,avic,montave na hazina..mtakua na number five in east africa bila iyo minara
Tutengeneze projects under construction thread nn???Hahahaha unafkiri on going projects bongo zimesmama hahahahha wala usishindane na under construction project za bongo hahhahahahha zimejaaa kama unataka twende kazi
yap mko nazo but hakuna yenye ni ndefu zaidi ya pspf...tuko na tatu ndefu zaidi ya pspf ongoing na mbili kwa site prep...mtakua number sita...Mkimalisha na huku tunakamisha alot of on going projects tena nyingiko zimefika more than 50% so bongo kila siku panajengwa nilikwambia mfano ilala mpaka 2020 yote itakua magorofa kwasababu speed sio mchezo so Google uone ukubwa wa ilala
ebu tengeneza mkuu...nataka kuziona zoteTutengeneze projects under construction thread nn???
Kwa upangaji huu wa Nguo ktk Mall kubwa cjui Africa Mashariki, na kukosa mvuto wa ndani hasa rangi za jengo basi nafuu ya Machinga Complex ya Dar. Eti Nike, hii ina tofauti gani na uniform za watoto wa shule readymade pale machinga complex?This is what we do in Nairobi, Attracting International Brands
View attachment 491342
Nike has opened its first Official Mega Store at Two rivers bringing leading international brands to 28 at Two rivers only
muhimu nikununua tu apo...mpangilio acha ukaeKwa upangaji huu wa Nguo ktk Mall kubwa cjui Africa Mashariki, na kukosa mvuto wa ndani hasa rangi za jengo basi nafuu ya Machinga Complex ya Dar. Eti Nike, hii ina tofauti gani na uniform za watoto wa shule readymade pale machinga complex?