NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,388
- 17,968
Rudi shule dada. Ama uje nikufunze na nikutie.Ila unabishia bure tu
hilo jengo mzunguko wa chini ulio kaa kama Meli
una kama fl 5
Rudi shule dada. Ama uje nikufunze na nikutie.Ila unabishia bure tu
hilo jengo mzunguko wa chini ulio kaa kama Meli
una kama fl 5
mm hua sikasiriki hata ndugu yenu jay456watt analijua hilo sina hasira na sina matusi kabisa😀😀😀Usikasirike, saidika unaporekebishwa endapo umekosea. Swala la "mwalimu wa english" achana nalo.
matusi ya nn sasa??? au ndio hasira za TPA😛😛😛Rudi shule dada. Ama uje nikufunze na nikutie.
Chini ya ardhi ama chini wapi?nimeskia neno 5floors ambzo ziko chini sijaskia neno 35floors sasa unalazmisha aseme wakat hajasema 😀😀😀leo nimekukamata kiutamu tamu🙄🙄
be serious kwanza hilo jengo limejengwa bondeni kabisa ya iko very near na oceanChini ya ardhi ama chini wapi?
hakuna mtu hajielewi kwenye hii forum kukuliko wewe mwarabu wa tandalebe serious kwanza hilo jengo limejengwa bondeni kabisa ya iko very near na ocean
😀😀😀 sawa lakin pole kwa hasira brohakuna mtu hajielewi kwenye hii forum kukuliko wewe mwarabu wa tandale
kama hauna cha kuongea uwe unakaa kimya tuCompare the quality of seats then uongee. Hizo za parliament yenu zinakaa za receptionist while zetu zinakaa za mdosi mwenyewe. 😀😀😀 BTW both parliaments were designed by the same Kenyan.
Naona umepata nguvu ukajieleza. Endelea na mkondo uo huo.mm hua sikasiriki hata ndugu yenu jay456watt analijua hilo sina hasira na sina matusi kabisa😀😀😀
😀😀vumilia tu na pole kwa maumivuNaona umepata nguvu ukajieleza. Endelea na mkondo uo huo.