Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 26,929
- 27,893
😀😀😀😀 Watu wengine wanaonewa akiNipanic wakati unanunua kilo moja Ksh450 na Mimi nanunua Ksh 80?
😀😀😀😀 Watu wengine wanaonewa akiNipanic wakati unanunua kilo moja Ksh450 na Mimi nanunua Ksh 80?
Time will tell, we are patiently waiting... Tz ni ile ilehatusubiri tunajenga kwa pamoja zote ndio maana hata reli tunajenga phase mbili kwa pamoja 😀😀😀
Mnajichanganya na kujikanganya wenyewe...Sisi ndiyo tunapenda mchanganyikiwe
Usilazimishe tufanane rafiki. Dar es salaam kila kona inajengwa. Miundombinu, Maji, Umeme, majengo, masoko, stendi nk. Kamwe usilazimishe tufanane. Na usidhani vipaumbele vya Nairobi ndivyo vya Dar. Malizeni kwanza matatizo ya maji ndipo mje tuongee.Imeanza 2014 na ni 35 floors. Nani hajui tabia yenu ya kuhesabu floors haziko.😀😀😀
Aliyelazimisha tufanane ni nani? Na ni nani angetaka kulazimisha tufanana na nchi ldc kam tz? Umebanwa kwenye corner ukaona heri ubadilishe mada. Tulikuwa tunazungumzia PPF hq na vile unalazimisha liwe na 40 floors when it's actually 35 floors. Sasa kati yetu na nyinyi nani analazimisha vitu?Usilazimishe tufanane rafiki. Dar es salaam kila kona inajengwa. Miundombinu, Maji, Umeme, majengo, masoko, stendi nk. Kamwe usilazimishe tufanane. Na usidhani vipaumbele vya Nairobi ndivyo vya Dar. Malizeni kwanza matatizo ya maji ndipo mje tuongee.
PPF HQ ni 40+fl rafiki. Bahati mbaya hapo Nairobi hakuna jengo lenye 35fl. Ndiyo maana wivu umewajaa. Hahahaha.Aliyelazimisha tufanane ni nani? Na ni nani angetaka kulazimisha tufanana na nchi ldc kam tz? Umebanwa kwenye corner ukaona heri ubadilishe mada. Tulikuwa tunazungumzia PPF hq na vile unalazimisha liwe na 40 floors when it's actually 35 floors. Sasa kati yetu na nyinyi nani analazimisha vitu?
Acha kulazimisha mambo. Ni juzi tu mmoja wenu alileta picha ya hilo jengo ikifanyiwa cladding and I counted 35 floors. soma hii link hapa chini.PPF HQ ni 40+fl rafiki. Bahati mbaya hapo Nairobi hakuna jengo lenye 35fl. Ndiyo maana wivu umewajaa. Hahahaha.
Hahaha hebu weka picha ya jengo hilo tuhesabu hizo flAcha kulazimisha mambo. Ni juzi tu mmoja wenu alileta picha ya hilo jengo ikifanyiwa cladding and I counted 35 floors. soma hii link hapa chini.
PPF Headquarters, Dar es Salaam | 1274176 | EMPORIS
I can bring mire if you want.
And just in case you didn't know, Times Tower is 38 floors though najua utakataa
www.skyscrapercity.com/showthread.php?t=1971623PPF HQ ni 40+fl rafiki. Bahati mbaya hapo Nairobi hakuna jengo lenye 35fl. Ndiyo maana wivu umewajaa. Hahahaha.
Hahahaha! Njoo utembelee TZ kwanza ujionee.www.skyscrapercity.com/showthread.php?t=1971623
Ingine ndio hiyo. This is the same way you guys insisted that TPA is 40 floors when itself actually 36 floors
Tamalizane hii story ya PPF kwanza. Mimi kukuja tz, sio hoja. sisi ni majiraniHahahaha! Njoo utembelee TZ kwanza ujionee.
good nasisi pia tunapenda muone sio kuhadithiwaTime will tell, we are patiently waiting... Tz ni ile ile
ila hii itakua harari sana kwa afya za wakenya😀Bus Terminal- Dar Es Salaam coming soonView attachment 772882View attachment 772883View attachment 772884View attachment 772885