ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Mimi nimetoa information Right from the architect. Tazama video.😀😀😀😀
wapi amesema 35fl??? sijaskia hilo neno😀😀😀😀😀😀
Mimi nimetoa information Right from the architect. Tazama video.😀😀😀😀
Nbo ilikua nzuri sana B.C.nairobi tu hakuna nje ya nairobi😀😀😀
Ni bundles hauna ama ni Kiingereza huelewi? Wacha nikusaidie najua bundles kwako ni shida. Open the video and jump to 7:01.😀😀😀😀wapi amesema 35fl??? sijaskia hilo neno😀😀😀😀😀😀
Let's make a deal. Nionyeshe indoor Arena Kama hii Tanzania nami nikuonyeshe Convention Centre in Kenya outside Nairobi. Twende Kazi.😀😀😀😀hio ndio conventional center😀😀😀😀😀😀😀😀
kwanza nioneshe wapi kasema 35fl kwenye ile video tumalize TPA kwanza usiniletee uhuni mm sio geza ulole hapa tunamalizana lasivo nakuweka sawa alaf tunaendelea😀😀😀😀😀😀Let's make a deal. Nionyeshe indoor Arena Kama hii Tanzania nami nikuonyeshe Convention Centre in Kenya outside Nairobi. Twende Kazi.😀😀😀😀
![]()
Narudia, ni bundles huna ama kiingereza huelewi? Hiyo hapo video tazama 7:01. Najua maskini huna bundles lakini nimeona nikusaidie.😀😀😀😀kwanza nioneshe wapi kasema 35fl kwenye ile video tumalize TPA kwanza usiniletee uhuni mm sio geza ulole hapa tunamalizana lasivo nakuweka sawa alaf tunaendelea😀😀😀😀😀😀
Narudia, ni bundles huna ama kiingereza huelewi? Hiyo hapo video tazama 7:01. Najua maskini huna bundles lakini nimeona nikusaidie.😀😀😀😀
NA BADO HATUWEKI JUMBO JET..... DAR NI VITUKO 2... NAIROBI BY 2020 ITAFANYA ADMIN KU DELETE HII THREAD AKY WALAIWakati Kenya Airways iko na direct flights to the US nyinyi ndio mnaenda Bunjumbura? Kweli hatuko level moja na nyinyi. Huko tulienda miaka za sabini! hahaha
giantNA BADO HATUWEKI JUMBO JET..... DAR NI VITUKO 2... NAIROBI BY 2020 ITAFANYA ADMIN KU DELETE HII THREAD AKY WALAI
Narudia, tazama video 7:01. Kama huelewi kiingereza sema, kama ni bundles huna sema.😀😀😀😀hakuna neno kasema 35fl usinifanye mm poyoyo
😀😀😀😀😀 unaniletea utani mm
Narudia, tazama video 7:01. Kama huelewi kiingereza sema, kama ni bundles huna sema.😀😀😀😀
hakuna neno katamka 35 floors huyu jamaa sijui kama anajielewa nimeskia 5floor ambazo ziko chini😀😀Hahaha wekweli ****
Umeambiwa kabisa Kuna 5fl chini
Sasa unataka tuesabu hadi underground floors? Wewe mwehu ama nini? Basi Kenya ina Majengo nne yaliyokamilika yenye 40 floors and above. No wonder kila mara mnaongeza floors kwa majengo yenu.😀😀😀😀Hahaha wekweli ****
Umeambiwa kabisa Kuna 5fl chini
Narudia, tazama video 7:01. Kama huelewi kiingereza sema, kama ni bundles huna sema.😀😀😀😀
hajasema neno 35floors kazungumzia 5floors tu 😀😀😀😀😀😀😀 na sijaskia neno 35floorsSasa unataka tuesabu hadi underground floors? Wewe mwehu ama nini? Basi Kenya ina Majengo nne yaliyokamilika yenye 40 floors and above. No wonder kila mara mnaongeza floors kwa majengo yenu.😀😀😀😀