Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe kiingereza kimekushinda kabisa. Yaani hata hakuna neno 'level' kwenye muktadha wewe unaliweka. Unaweka mambo hayaeleweki. Eti 'that metre from sea level'. Hata mtoto mchanga anaona hiyo sentensi haina maana yoyote.😀😀😀😀
mtu anasema are the 5 floors wewe unasema 35floors serious???😀😀😀😀
 
This tells you mnashindana na watu ujinga Iko Kwa kichwa. Kudos to the Kenyan architects, they created several icons there hata huo ujinga wa parliament building wanaleta hapa,it's still the same architects. Hili liwe funzo Kwa vilaza wote wa Tz mnaobishana kipuzi.
 
yani mtu anasema five floors unasema 35 floors kweli alaf unashupalia kama mshipa wa tako😀😀😀😀
Basi, nimekubaliana nawe. TPA ni 5 floors. Sio 35 floors tena. Umefurahi sasa wewe kilaza?😀😀😀😀😀😀
 
mtu anasema are the 5 floors wewe unasema 35floors serious???😀😀😀😀
Unaona wewe, jinsi mnavyopata shida na matamshi katika maneno ya kingereza mfano "bio" ambayo wengi mnatamka as "biyo" ilhali Ni "bayo" ndivyo wakenya kadhaa wanatamka "thirty" as "thate" na hapo ndipo kingereza kilipo kupitia..
 
so wewe ni mwalimu wa english???😀😀😀😀😀😀
 
Unaona wewe, jinsi mnavyopata shida na matamshi katika maneno ya kingereza mfano "bio" ambayo wengi mnatamka as "biyo" ilhali Ni "bayo" ndivyo wakenya kadhaa wanatamka "thirty" as "thate" na hapo ndipo kingereza kilipo kupitia..
Achana na huyo kilaza. Ameng'ang'ana kwamba Mbunifu Majengo amesema TPA ni 5 floors. So nimemueleza tukubaline naye kwamba TPA ni 5 floors.😀😀😀😀
 
Achana na huyo kilaza. Ameng'ang'ana kwamba Mbunifu Majengo amesema TPA ni 5 floors. So nimemueleza tukubaline naye kwamba TPA ni 5 floors.😀😀😀😀
Huyu ameandikwa kazi hapa jf kutetea Tz ndiposa atapinga lolote. If he doesn't win yeye hukatwa mshahara..usishangae hachangii popote pengine kwenye maswala muhimu yanayokumba nchi yake.
 
mm hua situkani waulize wanainijua mm ndio watakwambia vzr wapi kasema neno 35floors😀😀😀😀
Sasa unataka tukubali hakusema neno 35 floors just because you don't understand English? Hiyo itawezekana kweli my fren'?
 
Sasa unataka tuesabu hadi underground floors? Wewe mwehu ama nini? Basi Kenya ina Majengo nne yaliyokamilika yenye 40 floors and above. No wonder kila mara mnaongeza floors kwa majengo yenu.😀😀😀😀
Ila unabishia bure tu
hilo jengo mzunguko wa chini ulio kaa kama Meli
una kama fl 5
 
Huyu ameandikwa kazi hapa jf kutetea Tz ndiposa atapinga lolote. If he doesn't win yeye hukatwa mshahara..usishangae hachangii popote pengine kwenye maswala muhimu yanayokumba nchi yake.
mm nina kazi ya kukulisha wewe na familia yako kwa mwaka mzima kazi yenu muwe munakula na kwenda chooni 😀😀😀😀
usichukulie kila mtu mjinga humu au hana kazi ya kufanya
 
Back
Top Bottom