Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tunajenga 3 super modern fly over hakuna east afrika tena tatu kwa mpigo within 3 years nyie nairobi mumejenga flyover 20yrs huoni tofaut hapo bado hehheheheh wajengeeni likoni bridge hahahhh utasema wanyama ndio wanavuka😀😀😀😀😀😀😀
daah ndugu unajiaibisha....nani ametake like forever kujenga flyover sasa?since independence ndio mnaanza sasa 2017.huko mwanza mtajenga lini..ata kisumu na nakuru zinafika sasa
 
Wajengeeni likoni hio kitu hahahahahha 😀😀😀 utasema nguruwe ndio wanavuka ferry hahahaha
images (23).jpg
 
lakini nyinyi ndugu zangu watanzania munanishangaza sana. kisha munasema wakenya wamewadharau... sio kupenda kwa wakenya kuwadharau, ni venye akili zenu bado zimelala. kuna flyovers katika miji ya Mombasa na Kisumu... nyinyi bado munangoja mpaka mukuwe collonised na wakenya ndio mutaamka
 
daah ndugu unajiaibisha....nani ametake like forever kujenga flyover sasa?since independence ndio mnaanza sasa 2017.huko mwanza mtajenga lini..ata kisumu na nakuru zinafika sasa
Kisumu heehehhh is it a city hahahhhaah😀😀😀😀😀😛😛😛😀 baiskeli ndio taxi hahahha unakuja kuaibika hapa hahahhaha sijawah ona duniani city baiskeli ikawa taxi 😱😱😱😱😱
7233f92a28bb01794307335522b59c9d.jpg
 
mombasa kunajengwa dongo kundu which itaconnect south coast na island....shida iko wapi
Hahahhahahaha kwa sifa tu hamujambo heheheh 😀😀😀😀😀😀😀😀 kasome mbudya island dar es salaam uone dunia iko wapi sasa hvi hahhahahaha povuuuuuuuuuu😀
 
Hahahhahahaha kwa sifa tu hamujambo heheheh 😀😀😀😀😀😀😀😀 kasome mbudya island dar es salaam uone dunia iko wapi sasa hvi hahhahahaha povuuuuuuuuuu😀
sifa eeeh...kaa apo ukiamka utaona dar inafukuza msa
 
Unaona marine transport ya bongo hio hahhahaha hatubahatishi 😀😀😀😀😀😀😀 na zimejaa kama uchafu dar hhhaahhahah tafuta hio east and central Africa kama utapata
download (9).jpg
34070-4157609.jpg
zanzibar-ferry-dar-es-salaam.jpg
 
sifa eeeh...kaa apo ukiamka utaona dar inafukuza msa
😀😀😀😀😀😀😀 povuuuuuu bongo of 2017 ukitaka islands ndio utaumia kabisa hehehe bora unyamaze tu niliwaambia dar imekusanya nairobi,mombasa na kisumu hamutaki
 
😀😀😀😀😀😀😀 povuuuuuu bongo of 2017 ukitaka islands ndio utaumia kabisa hehehe bora unyamaze tu niliwaambia dar imekusanya nairobi,mombasa na kisumu hamutaki
povuuuuuuu.....flyover ya kwanza?really????how many years after independence....hahaaaaaa
 
by the way ndugu zangu wa bongolala,,, what's the capital city of Tanzania?
 
Back
Top Bottom